Nape kutangaza kugombea urais 2015

Nape kutangaza kugombea urais 2015

Mimi nadhani amejipima na kuona anaweza kwa kigezo kuwa pamoja na kuwa katika mijadala yake hana jipya zaidi ya kutukana CHADEMA, watanzania wengi wanafurahia matusi hayo ndiyo maana tunajaa kwenye mikutano yake. Kwa hiyo kwa kigezo kuwa mikutano yae imejaa watu kumsikiliza anaamini wale wote wanampenda na watampa kura. Tangazeni nia vijana msiogope.
 
Back
Top Bottom