Nape kutangaza kugombea urais 2015

Nape kutangaza kugombea urais 2015

Joined
Jan 4, 2014
Posts
60
Reaction score
31
Habari za uhakika ni kwamba Nape Moses Nnauye atatangaza muda wowote kuanzia mwezi ujao dhamira yake ya kugombea urais 2015 baada ya Vijana wengine kujitokeza ndani ya chama hicho Kama ambavyo nayeye alivyo na haki yake ya msingi, nia na madhumuni ni kuvunja kabisa nguvu ya Vijana waliojitokeza kwa dhana ya kwamba kichama yeye ni bosi wao hao Vijana wote na ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm....sina hakika lengo lake ni kumsaidia mgombea gani AMA pengine anaamini upepo unaweza geuka ikawa ni Rais kijana na yeye akachukua nchi hii,Kazi ipo CCM.
 
Ni haki yake kikatiba hebu pata picha huku Nape kule Kigwangala huko Ngeleja na huku January! Nani bado?
 
Habari za uhakika ni kwamba Nape Moses Nnauye atatangaza muda wowote kuanzia mwezi ujao dhamira yake ya kugombea urais 2015 baada ya Vijana wengine kujitokeza ndani ya chama hicho Kama ambavyo nayeye alivyo na haki yake ya msingi, nia na madhumuni ni kuvunja kabisa nguvu ya Vijana waliojitokeza kwa dhana ya kwamba kichama yeye ni bosi wao hao Vijana wote na ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm....sina hakika lengo lake ni kumsaidia mgombea gani AMA pengine anaamini upepo unaweza geuka ikawa ni Rais kijana na yeye akachukua nchi hii,Kazi ipo CCM.

Naona kumekucha baba na Mwana,
Jana baba ake Prof Mwandosya karopoka sasa ni zama ya Mwana.

Haya kila rakheri, nadhani badae anafuatia Makonda, kabla ya Sitta kutangaza December
 
Oh kwahiyo atazunguka hadi KILIMANJARO ? watu wanamsubiri na huo Mdomo wake Mchafu nani atamlinda ??

CCM wanaufanya URAIS kama vile kwenda kumaliza Darasa la Saba
 
Habari za uhakika ni kwamba Nape Moses Nnauye atatangaza muda wowote kuanzia mwezi ujao dhamira yake ya kugombea urais 2015 baada ya Vijana wengine kujitokeza ndani ya chama hicho Kama ambavyo nayeye alivyo na haki yake ya msingi, nia na madhumuni ni kuvunja kabisa nguvu ya Vijana waliojitokeza kwa dhana ya kwamba kichama yeye ni bosi wao hao Vijana wote na ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm....sina hakika lengo lake ni kumsaidia mgombea gani AMA pengine anaamini upepo unaweza geuka ikawa ni Rais kijana na yeye akachukua nchi hii,Kazi ipo CCM.
Acha wafu wazikane!
 
Naona kumekucha baba na Mwana,
Jana baba ake Prof Mwandosya karopoka sasa ni zama ya Mwana.

Haya kila rakheri, nadhani badae anafuatia Makonda, kabla ya Sitta kutangaza December

Ha ha ha ha ha ha ha haaaa... Umeamua kuua hapoo-hadi makonda?? Natamani kuhama nchii...
 
Angekuwa chadema hapo lazima anyang'anywe kadi na kuitwa msaliti
 
Habari za uhakika ni kwamba Nape Moses Nnauye atatangaza muda wowote kuanzia mwezi ujao dhamira yake ya kugombea urais 2015 baada ya Vijana wengine kujitokeza ndani ya chama hicho Kama ambavyo nayeye alivyo na haki yake ya msingi, nia na madhumuni ni kuvunja kabisa nguvu ya Vijana waliojitokeza kwa dhana ya kwamba kichama yeye ni bosi wao hao Vijana wote na ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm....sina hakika lengo lake ni kumsaidia mgombea gani AMA pengine anaamini upepo unaweza geuka ikawa ni Rais kijana na yeye akachukua nchi hii,Kazi ipo CCM.

Nape huyu huyu NAPE MWANDOSYA VUVUZELA MROPOKAJI ASIYEKUA NA BUSARA mbona majanga hakika urais umekua taasisi yawale wasiojiekewa.
 
Naona kumekucha baba na Mwana,
Jana baba ake Prof Mwandosya karopoka sasa ni zama ya Mwana.

Haya kila rakheri, nadhani badae anafuatia Makonda, kabla ya Sitta kutangaza December
Angekuwa chadema adhabu yake ingekuwa nini?
 
Naona kumekucha baba na Mwana,
Jana baba ake Prof Mwandosya karopoka sasa ni zama ya Mwana.

Haya kila rakheri, nadhani badae anafuatia Makonda, kabla ya Sitta kutangaza December

Kwa ccm halishindikani jambo ngoja tusubiri.
 
Mpaka madereva oops makonda nae atataka kugombea urais , kikwete katuharibia heshima ya urais
 
JF -Jukwaa la Siasa ni kiboko. Manake niliposoma title nimecheka mpaka baaaaaaaaaaaaaaaaasi zaidi ya ze komedi. na frustrations zote za kutwa zikawa zimeniachia kwa muda.
 
Back
Top Bottom