tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 537 Jun 4, 2012 #1 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,368 Jun 4, 2012 #2 tz1 said: View attachment 55478 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma Click to expand... Hapana yeye ndo ana mashetani.
tz1 said: View attachment 55478 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma Click to expand... Hapana yeye ndo ana mashetani.
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Jun 4, 2012 #3 wanachama wengi wa ccm njaa zinawasumbua, hapo wamama wa kitaa washapewa buku mbili kila mmoja, i hate ccm n i mean it
wanachama wengi wa ccm njaa zinawasumbua, hapo wamama wa kitaa washapewa buku mbili kila mmoja, i hate ccm n i mean it
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,462 Jun 4, 2012 #4 ha ha ha Nape maigizo
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Jun 4, 2012 #5 Akili za maiti, siasa za hivyo miaka hii!? duh
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 Jun 4, 2012 #6 Njaa mbaya sana
Master jay Senior Member Joined May 28, 2012 Posts 194 Reaction score 32 Jun 4, 2012 #7 Hao kabla ya kufika mkutanon walishazungukiwa na baloz wakapewa buku jero. Hawana jipya
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Jun 4, 2012 #8 wachacheee maskini....kwel c.c.m iz no longer alive
N NGOWILE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 454 Reaction score 258 Jun 4, 2012 #9 Naona kapata nyomi kweli
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jun 4, 2012 #10 Hao kina mama wanajitia aibu Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Jun 5, 2012 #11 Wanataka paipu hao.:israel:
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,533 Reaction score 30,086 Jun 5, 2012 #12 Inasikitisha sana...
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jun 5, 2012 #13 yaani ccm kila kitu wanaendesha kimaigizoigizo tu hata nchi wanaiendesha hivyovhiyo...gademu
S Senator p JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 282 Reaction score 43 Jun 5, 2012 #14 Kwa hyo nape ana upango wa magamba?
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,276 Jun 5, 2012 #15 tz1 said: View attachment 55478 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma Click to expand... Watu wenyewe hazidi kumi! Tehe tehe anaupako ee?
tz1 said: View attachment 55478 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma Click to expand... Watu wenyewe hazidi kumi! Tehe tehe anaupako ee?
taffu69 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2007 Posts 2,094 Reaction score 541 Jun 5, 2012 #16 hapo anatoa ujumbe gani!!!!!
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Jun 5, 2012 #17 Kina Mama wa Mkoa wa Ruvuma wanatabia ya kugalagala kwa mgeni kuonyesha heshima kwake.hapa wanaonyesha respect kwa mgeni Neppy tz1 said: View attachment 55478 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma Click to expand...
Kina Mama wa Mkoa wa Ruvuma wanatabia ya kugalagala kwa mgeni kuonyesha heshima kwake.hapa wanaonyesha respect kwa mgeni Neppy tz1 said: View attachment 55478 Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma Click to expand...
Jungumawe JF-Expert Member Joined May 2, 2009 Posts 245 Reaction score 74 Jun 5, 2012 #18 taffu69 said: hapo anatoa ujumbe gani!!!!! Click to expand... sasa t shirt, kanga zimetosha tutaanza kugawa viatu naona wengi mko peku. Ndiyo hawa wamama wakapagawa kwa umasikini wao waliosabishiwa na magamba, nyinyiem hoyeeeeeee!!!!!!!!!!!
taffu69 said: hapo anatoa ujumbe gani!!!!! Click to expand... sasa t shirt, kanga zimetosha tutaanza kugawa viatu naona wengi mko peku. Ndiyo hawa wamama wakapagawa kwa umasikini wao waliosabishiwa na magamba, nyinyiem hoyeeeeeee!!!!!!!!!!!
Suzie JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 1,267 Reaction score 422 Jun 5, 2012 #19 Nape ajiunga kikundi cha Komedi show.Poleni wakina mama wenzangu ambao bado mnatumika
Hamsel Senior Member Joined Nov 15, 2011 Posts 116 Reaction score 84 Jun 5, 2012 #20 Ila wangefanya chadema heading ingekuwa "CHADEMA WAMETEKA KILA IDARA" am done.