Nape kiwatoa mashetani wanachama wa Ccm

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
wazee3.jpg

Ina daiwa wa mama walianguka wakati jamaa ana hutubia Ruvuma
 
wanachama wengi wa ccm njaa zinawasumbua,
hapo wamama wa kitaa washapewa buku mbili kila mmoja,
i hate ccm n i mean it
 
Hao kabla ya kufika mkutanon walishazungukiwa na baloz wakapewa buku jero. Hawana jipya
 
yaani ccm kila kitu wanaendesha kimaigizoigizo tu hata nchi wanaiendesha hivyovhiyo...gademu
 
hapo anatoa ujumbe gani!!!!!
sasa t shirt, kanga zimetosha tutaanza kugawa viatu naona wengi mko peku. Ndiyo hawa wamama wakapagawa kwa umasikini wao waliosabishiwa na magamba, nyinyiem hoyeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Nape ajiunga kikundi cha Komedi show.Poleni wakina mama wenzangu ambao bado mnatumika
 
Ila wangefanya chadema heading ingekuwa "CHADEMA WAMETEKA KILA IDARA" am done.
 
Back
Top Bottom