Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.

Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba kaibuka na kumzodoa Kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.

Acha mpambano uendelee.
 
Nape analipwa kwa kazi hiyo ya kupayupa kila apatapo nafasi, sasa kumwambia eti anyamaze ni kutaka mwenzenu afe njaa.......na ni nani aliwaambia huko CCM kuna kuheshimiana siku hz, wangekuwa na heshima hiyo kamati ya maadili ingeshamuita yule jamaa aliyempiga mzee wetu kwa sababu ya ufafanuzi wa rasimu.
 
Nape hana adabu kwa wazee. Hata kama kingunge kakosea sio kuonyesha dharau hivyo.
Gefu
 
Last edited by a moderator:
tatizo nape unajifanya unajuasana kuamakini ckumoja waweza pewa rifti tu ukapotea
 
Nape na wewe una adabu,kwani mtu akitoa mawazi ambayo ni tofauti na mtazamo wenu ndio umjibu namnahiyo.AAcha na yeye atumie demokrasia yake kama mtanzania.Si msapoti Lowasa but naye anaweza kutoa mtazqmo wake

Nape alisha laaniwa zamani aliposema wazee watatangulia kufa kabla ya vijana
 
Back
Top Bottom