Kibonde anamuhoji Nape clouds tv now. Nape anasema best zake wa aljeria wanatamani kuja kuishi tz coz kuna amani sana. Sasa Nape anazungumzia uzalendo wa watanzania.

Nape anasema clouds imefanikiwa kutunza na kukuza mziki wa tanzania, anasema clouds fm unaweza kuisikiliza mbele ya baba mkwe na mama mkwe coz ni radio ambayo hawapigi nyimbo za hovyo.