Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,522
Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
MkuuMwamba Eenzi anatumbuliwa na Jiwe hakuwa na nyumba Dar akaenda kuishi kwa mkwe. Baada ya kufurishwa nyumba za mawaziri. Hope alijifunza
Kashajenga Dar au bado yupo ukweni?Yule ni sisitimu haendi kokote tunaye