Nimemkumbuka Nape Nauye, Yu wapi? siasa bhana!

Nimemkumbuka Nape Nauye, Yu wapi? siasa bhana!

Hakuna Mtu Mkubwa zaidi ya Mfumo, Trump anakuambia hakuna ataefanya America Ikwame hakuna Binadamu Mmoja mwenye Atafanya mambo ya kwame iwe kwa kifo au Kususa mambo yataenda tu
 
Weka kile kipande akilia machozi kwenye bustani ya ikulu
Kweli jiwe alikuwa hacheki na wowote
 
Taifa LINAENDA wapi?

Leo January Makamba, Nape Nauye Mwigulu nchemba sio kitu Tena kwenye siasa pamoja na purukushani hizi za uchaguzi?
Siasa siasa
Hakika No reform No election
Nadhani ndio gentleman Tlaahtlaah
 
Back
Top Bottom