Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?
Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.
atasema ccj ilifutwa hivyo na uanachama wake ulifutika
Nape kama walivyo watoto wa vigogo wengine ndani ya ccm ni moja ya watu ambao kura yao hutegemea ccm! Nape hawezi rudisha hiyo kadi, yawezekana hata kadi ya cdm anayo!
atasema ccj ilifutwa hivyo na uanachama wake ulifutika
Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.
kwa nini unahisi thread yako itaondolewa! inaonekana unachoongea ni uzushi toka kichwani mwako,sasa una wasiwasi kwamba mods wasije kukustukia!Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?
Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.
Naomba na mimi niulize, hivi mtu aliyehama CCM and then baadae akaamua kurudi, anaendelezewa uanachama kwa kadi ya zamani au anaanza na mpya? Naombeni jibu wazee... mwambieni Dr Slaa arudishe kadi ya CCM ... Au ipo siku atarudi CCM...
Nasikia hiyo kadi atamkabidhi jangili kinana kwenye sherehe inayotarajiwa kufanyika kwenye mbuga Mojawapo ya wanyama
Naomba na mimi niulize, hivi mtu aliyehama CCM and then baadae akaamua kurudi, anaendelezewa uanachama kwa kadi ya zamani au anaanza na mpya? Naombeni jibu wazee