Nape: Jisahihishe, Unapoteza Vijana Wengi CCM

Jamani Nape amekuwa CAUGHT ON A CROSS ROAD!

Let me give a guy his credity. Nape sio FISADI huo ndiyo UKWELI wenyewe kwa sisi tunaomfahamu tangu akiwa UVCCM.

Baada ya kuona CCM inapoteza VIJANA wengi na sababau kubwa ni UFISADI, JK M'kti wa CCM akaona njia pekee ya kurudisha trust ya VIJANA kwa CCM, kwanza ni kuwaletea KIJANA mwenzao, lakini sio Kijana tu bali kijana anayechukia UFISADI kwa dhati ya moyo wake. Katika kuangaza katika chama chake ndiyo akamuona Nape Nnauye. kweli JK hakuwa amekosea.

Nape bila kujua masikini akifikiri JK ana niya ya dhati ya kupambana na UFISADI na kurudisha trust ya vijana kwa CCM. Kumbe JK alikuwa na na lake jambo (read Mazigaombwe/usanii). Nape bila kujua akaingia kichwa kichwa. Remember tumewapa siku 90 watuhumiwa wote wa UFISADI wajiondoe CCM, wakishindwa Chama kitawaondoa.

Baada mda Nape amegundua nia JK na CCM ilikuwa sio kupigana na ufisadi, bali kutuliza UPEPO upite.

Sasa katika hatua hii ndiyo Nape amefikia na kama kawaida ya watanzania ameshindwa kufanya maamuzi MAGUMU. Hivyo amebaki vuguvugu, that is ana lazimika sasa kuwatetea MAFISADI na CHAMA chake ilihali ni kinyume na dhamira yake.

Mbaya zaidi style anayoitumia ya KUTETEA MAFISADI wa CCM kwa kuishambulia CDM it is like shooting himself on his own foot.

Frankly speaking VIJANA wengi wanaipenda CDM, simply kwasababu CCM imewaangusha, CCM imekuwa ni chama cha kutetea UFISADI hata ule wa waziwazi kama wa radar na EPA.

Bila CCM kufanya mabadiliko makubwa PIGA UA VIJANA wataendelea kui-support CCM. Mbaya zaidi hata ngome ya CCM ambayo ni akina mama nao sasa wameanza ku join CDM. wafanyakazi ndiyo usiseme kabisa.

Lakini history ni mwalimu mzuri, vyama vyote vikonge vimepitia hatua hii, na CCM ilipofikia hapa haitakuwa tofauti na UNIP, KANU etc
 
Mchambuzi naona umeongelea kitu ambacho vijana wengi tunashindwa haswa haswa washabiki wa chama tawala. Tumezoea kujipendekeza na kuongea vitu hata kama vitu hivyo vinapoteza muelekeo sio tu wa mtu binafsi pia chama au taasisi kwa ujumla wake. Hii imenikumbusha kisa cha mfalme aliyekuwa uchi pamoja na yule mtoto.

Nafikiri hakuna mtu mwenye nia mbaya au kupenda kuona Mh. Nape asifanikiwe katika jitihada zake hizi katika ulingo wa siasa. Mimi kama kijana naamini kabisa Nape ni mmojawapo wa wanasiasa bora kabisa na ana uwezo mkubwa wa kutuwakilisha sisi vijana. Haya makosa anayoyafanya ( nikiamini anayafanya makusudi kwa nia zake maalum bila ku-calculate risks zake) yanaweza kumtumbukiza katika shimo ambalo tunaweza tusimsikie tena kwenye ulingo wa siasa baada ya 2015.

Kwa kumshauri tu Mh. Nape, arudi nyuma na kujitathmini. Ajiulize kwanini alikuwa ni kipenzi wa vijana enzi za UVCCM na ghafla vijana wale wale ndio wamekuwa maadui zake. Huenda tatizo si chama alichokuwepo, ila tatizo likawa ni yeye mwenyewe. Wapo waliopo katika chama tawala na hawana shida ya support kutoka kwa vijana wa kitanzania bila kujali itikadi zao.
 
Jamani Nape amekuwa CAUGHT ON A CROSS ROAD!

Let me give a guy his credity. Nape sio FISADI huo ndiyo UKWELI wenyewe kwa sisi tunaomfahamu tangu akiwa UVCCM.

Baada ya kuona CCM inapoteza VIJANA wengi na sababau kubwa ni UFISADI, JK M'kti wa CCM akaona njia pekee ya kurudisha trust ya VIJANA kwa CCM, kwanza ni kuwaletea KIJANA mwenzao, lakini sio Kijana tu bali kijana anayechukia UFISADI kwa dhati ya moyo wake. Katika kuangaza katika chama chake ndiyo akamuona Nape Nnauye. kweli JK hakuwa amekosea.

Nape bila kujua masikini akifikiri JK ana niya ya dhati ya kupambana na UFISADI na kurudisha trust ya vijana kwa CCM. Kumbe JK alikuwa na na lake jambo (read Mazigaombwe/usanii). Nape bila kujua akaingia kichwa kichwa. Remember tumewapa siku 90 watuhumiwa wote wa UFISADI wajiondoe CCM, wakishindwa Chama kitawaondoa.

Baada mda Nape amegundua nia JK na CCM ilikuwa sio kupigana na ufisadi, bali kutuliza UPEPO upite.

Sasa katika hatua hii ndiyo Nape amefikia na kama kawaida ya watanzania ameshindwa kufanya maamuzi MAGUMU. Hivyo amebaki vuguvugu, that is ana lazimika sasa kuwatetea MAFISADI na CHAMA chake ilihali ni kinyume na dhamira yake.

Mbaya zaidi style anayoitumia ya KUTETEA MAFISADI wa CCM kwa kuishambulia CDM it is like shooting himself on his own foot.

Frankly speaking VIJANA wengi wanaipenda CDM, simply kwasababu CCM imewaangusha, CCM imekuwa ni chama cha kutetea UFISADI hata ule wa waziwazi kama wa radar na EPA.

Bila CCM kufanya mabadiliko makubwa PIGA UA VIJANA wataendelea kui-support CCM. Mbaya zaidi hata ngome ya CCM ambayo ni akina mama nao sasa wameanza ku join CDM. wafanyakazi ndiyo usiseme kabisa.

Lakini history ni mwalimu mzuri, vyama vyote vikonge vimepitia hatua hii, na CCM ilipofikia hapa haitakuwa tofauti na UNIP, KANU etc

Bobuk,

..kwa kweli hapa umemaliza.

..hakuna cha kuongeza.
 
Sikuwahi kufikiria kama CCM bado imebakia na Vijana ambao bado wana uwezo mzuri wa kufikiri na kuita chupa chupa kama huyu aliyeleta hii thread.
Ila nakupa pole CCM imeshakata roho inasubili kuzikwa tu.
 
Kweli umemshika Nape maana mpaka sasa hajajitokeza kama kawaida yake.
 
Nakuhurumia sana mr Mchambuzi, nina mashaka nape ni Chadema. kwa propaganda zake sio kwamba anakijenga CCM bali anakijenga CDM. Wewe subiri wakati wa uchaguzi mkuu 2015, nape ataMFUATA MILLYA
 
Mwache aendelee kulala. Unamuamsha unampenda sana? We Mchambuzi vipi?

Nakipenda chama changu kwanza, na pili bado nina amini kwamba Nape wa UVCCM anaweza kurudisha mvuto wa chama kwa vijana; hoja kwamba sijui JK sijui nani kamzunguka, kama ni kweli hiyo ndio sababu inayomfanya ashindwe kufanya kazi, si ajiuzulu tu? kitendo hicho kitampa heshima kubwa sana; vinginevyo akitulia, bado anaweza kufanya mengi kukirudisha chama kwenye mstari per job description ya position aliyonayo i.e. idara ya uenezi na itikadi; according to our constitution (CCM), Department of Ideology and Publicity has the following functions:

(a) To deal with fundamental issues concerning the Ideology and Policies of Chama Cha Mapinduzi.
(b) To disseminate and elaborate on the CCM ideology and policies.
(c) To plan and supervise the training,agitation and involvement of CCM cadres and members in party work.
(d) To supervise the Party's media institutions, communication and mobilisation of the masses in general.
(e) To guide and supervise the preparation of CCM policies, programmes and the Party's Election Manifesto and
(f) To supervise research, library service and Party literature/documents.

Nina amini kabisa kwamba with a creative mind which is people - centred, ana nafasi nzuri bado ya kurejesha mvuto wa chama kwa vijana.
 
Nakuhurumia sana mr Mchambuzi, nina mashaka nape ni Chadema. kwa propaganda zake sio kwamba anakijenga CCM bali anakijenga CDM. Wewe subiri wakati wa uchaguzi mkuu 2015, nape ataMFUATA MILLYA

Una taarifa za ziada kuhusu hili? kuna mtu humu aliwahi kusema kwamba Nape 2010 ubungo baada ya kushindwa kwenye kura za maoni aliomba asimamishwe na Chadema lakini uongozi wa Chadema ukakataa na kubakia na chaguo lao la Mnyika; tulijaribu kumhoji mtoa hoja lakini hakuwa na majibu yenye mashiko. Vinginevyo binafsi siamini kwamba Nape ni Chadema bali ni die hard CCM;
 
Kweli umemshika Nape maana mpaka sasa hajajitokeza kama kawaida yake.

Anakaribishwa, hasa ikizingatiwa kwamba ndani ya chama chetu (CCM) tuna kanuni isemayo KUJIKOSOA NA KUKOSOANA NI SILAHA YA MAPINDUZI.
 
Tatizo CCM si Nape! ni chama kutotoa majibu ya matatizo ya wananchi, Nape anajitahidi walau kufanya propaganda ila ana sahau kuwa huu si wakati muafaka kwani watu wengi ni waelewa na sio wale wa zidumu fukra na kuendelea kudumu kwa fikra za mwenyekiti hivyo watu wanahoji na ukihoji wanahoji ulichokihoji. Binafsi naona Nape kadhinitisha kauli ya Mnyika kuwa serikali ni dhaifu...huwezi kuwa na serikali ambayo kuna chama kinapata hela nje ya nchi tena nje ya mfumo unaokubalika kisheria na wakawa kimya badala yake mtu kama Nape awaase waTZ, uku ni kuwaaambia watu kuwa serikali yenu ni dhaifu haiwezi kuchukua hatua kuhusu suala ilo so mjiaazali wenyewe. CCM na CDM wanapata misaada toka Ujerumani ( skujua ili before ) limewekwa wazi baada ya Nape kusema CDM wanapewa msaada na Ujerumani, ilikuwa propaganda nzuri ila hisiyo na taadhari kwamba ulushapo jiwe kwa mwenzio naye anaweza kukurushia hivyo ujiandae atakapo rusha lake au umdhibiti hasirushe.
Maisha ya waTZ ndio yanafanya watu waichukie CCM na ili linaitaji CCM ( sio Nape ) kubadilika,kwa hali ilivyo naona kama ni ngumu so ni vizuri tukawa na katiba nzuri ili rais ajaye kutoka upinzani awe na spidi gavana hasije/waisje fanya haya yanayofanywa leo.
 
Anakaribishwa, hasa ikizingatiwa kwamba ndani ya chama chetu (CCM) tuna kanuni isemayo KUJIKOSOA NA KUKOSOANA NI SILAHA YA MAPINDUZI.

Nape hawezi kuja hapa, na akija atatoa mafumbo yake ya "mti wenye matunda ndio unapigwa mawe" halafu anapotea. Chama kinawashinda
 
Na kuhusu kauli yako kwamba CCM ni chama cha watoto wa mafisadi, ebu nikuulize: Chadema ni Chama Cha Watoto wa nani? Wakulima (asilimia 70) vijijini? Kwani kama Chadema au chama kingine chochote kitanithibitishia kwamba ni chama cha wakulima (watanzania waliopo vijijini), nitajivua uanachama wangu wa CCM haraka sana na kujiunga na Chadema au chama chochote kitakachofanikisha hilo. Angalau TANU/CCM kilikuwa chama cha wakulima awali, kimeyumba kidogo lakini kikipata uongozi makini, kitarudia hali yake ya awali kwani misingi yote ya chama in that context bado ipo intact;

Mkuu chadema ni chama kinachoungwa mkono na watu wa hali ya chini waliochoka manyanyaso ya CCM na serikali yake.
 
Anakaribishwa, hasa ikizingatiwa kwamba ndani ya chama chetu (CCM) tuna kanuni isemayo KUJIKOSOA NA KUKOSOANA NI SILAHA YA MAPINDUZI.

Waliowahi kuikosoa CCM waliishia pabaya mfano:
Horace Kolimba
Augustine Mrema
Dr Ulimboka
Dr Mwakyembe

Na wengine wengi walioteswa na kuuwawa
 
Waliowahi kuikosoa CCM waliishia pabaya mfano:
Horace Kolimba
Augustine Mrema
Dr Ulimboka
Dr Mwakyembe

Na wengine wengi walioteswa na kuuwawa

Wengi hawapendi maoni yangu kuhusu CCM, na huwa napata emails kadhaa zikinikemea juu ya hilo kwani profile pic yangu humu ni picha yangu ya kweli kwa vile sipendi unafiki na sina woga katika masuala yenye maslahi kwa chama changu lakini muhimu zaidi, taifa langu. Vinginevyo chama chetu kina kanuni nzuri tu ambayo ilibuniwa ili kujenga (sio kubomoba) ambayo inasema: kujikosoa na kukosoana ndio silaha ya mapinduzi. Haijalishi kama nitashuhudia mapinduzi hayo, muhimu zaidi ni kwamba watoto wangu waje kuelewa kwamba baba yao alichagua upande sahihi wa historia ya chama chake cha CCM lakini muhimu zaidi, nchi yake ya Tanzania.
 
Mkuu chadema ni chama kinachoungwa mkono na watu wa hali ya chini waliochoka manyanyaso ya CCM na serikali yake.

Upo sahihi na yote ni kutokana na mapungufu ya chama chetu cha CCM ambayo ni wachache sana miongoni mwetu ambao tunakubaliana na ukweli huu.
 
Mchambuzi,

Ni mpaka uzame na Kursk? You are too good for that "dead log", my friend.

Unajua mpaka mtu uhame chama, there has to be a real alternative out there; so far kwa kweli Chadema na CCM hawana utofauti wowote mkubwa, ni kwamba tu mmoja yupo madarakani anatoa empty promises na pia entertain ufisadi, wengine wapo upande mwingine wakikosoa mapungufu ya mwenzao; vinginevyo wote ni waumini wa liberalization and marketization, ndio maana mataifa makubwa hayajali really nani anaenda ikulu, wanachojali wao zaidi ni uchaguzi wa 2015 uwe na amani na utulivu ili usilete disruptions kwenye maeneo yao ya uwekezaji;

Wanachotekeleza CCM leo ni kile kile Mzee Edwin Mtei alihimiza pamoja na IMF na WorldBank (1984-1986) sera ambazo Nyerere alizipinga kwa nguvu zake zote na tunazidi kuelewa sasa kwanini alifanya hivyo; Sera hizi kwa kiasi kikubwa ndio sababu ya watanzania hasa wa vijijini kuzidi kuwa maskini;

Tofauti kubwa ya vyama hivi ni kwamba tu CCM kipo madarakani ikitoa empty promises na kuendekeza ufisadi (vyote hivi vikiwa ni zao la sera za wahisani ambazo zinajenga mazingira ya empty promises na ufisadi for their own advantage - kiuchumi), huku vyama vingine vikiwa upande wa kukosoa, lakini hii ndio kazi rasmi ya vyama vya upinzani. Vinginevyo Ronal Reagan, hakuna chama chochote Tanzania leo hii chenye programu ya dhati kabisa na inayotekelezeka katika kuwanyanyua watanzania vijijini, watanzania ambao Nyerere alijitahidi sana kuwaendeleza.

Labda kama hoja yako ni kwamba niachane na chama kilichopewa ridhaa kwa miaka 50 mfululizo bila ya kumletea mtanzania maendeleo ya maana na nijiunge na chama ambacho kitayasahihisha haya mbele ya safari; kama hii ndio hoja yako, inajadilika na ina mashiko;
 
Back
Top Bottom