Mchambuzi,
..this country needs radical changes, not incremental changes.
..uzembe wa kuridhika na incremental changes ndiyo umetufikisha hapa ambapo tuna miaka 40+ toka uhuru na hakuna kitu cha maana ambacho CCM inaweza kutuonyesha wananchi.
..bila ya wananchi kuwa na attitude ya ku-demand radical changes all the time nchi hii itaendelea kukwama.
..tunachotakiwa ni kuhakikisha kwamba tuna utamaduni wa kubadilisha serikali zetu kwa amani.
..binafsi sioni ubaya wowote kama wa-Tanzania wataamua kubadilisha chama tawala ktk kila uchaguzi mkuu.