Nape JF sio sawa na Facebook

Hakuna hoja hapa, wewe na ka barua njaa kako ni dalili wazi za kutumwa na Mbulushi, hivi wewe utamshauri nini Nape? Eti producer, mi nakushauri ubadili jina na ujiite muimba taarab.
Hivi mwenzangu shule ulisoma kweli au ulihudhuria tu?mana unachoandika kinaonesha jinsi gani ulivyo mtupu!
 

Kazi kweli kweli! ipo siku yao moto utawaka hata hawatavumilia zaidi ya kukimbilia nchi mza wengine nakujikuta wakinaswa huko na kutupwa jela mwisho wa maisha yao!
 
Naamini Nape ni kielelezo kuwa ccm imeishiwa watu wakupewa madaraka ya kuongoza wenzao, ccm imekauka, ccm imeishiwa.
 
Kila anayemshabikia Nape, naye ana akili kama za Nape ila zimepungua kidogo tu. Kila anayeipenda CCM iliyotufikisha watanzania hapa naye ni fisadi wa level fulani. kwa mtu mwenye mapenzi mema na nchi hii hawezi Kupenda CCM kuvua gamba huku akijua kinachowaua watanzania ni sumu yake wala si gamba. Ili nchi hii iendelee inahitaji chama kipya ambacho hakitakwenda kwa mazoea. Kwa CCM waliopo hivi sasa si rahisi kuachana na mazoea kwani wamekulia katika mazoea hivyo ni utamaduni wao. hakuna muujiza unaoweza kuifanya nguo chakavu kuwa mpya. Nchi zilizoendelea zinajua maana ya kubadilisha utawala, hebu fikiria ingekua vipi kama bado zama hizi tungekuwa na mtandao mmoja tu wa simu, je watumiaji wangenufaika? KUMBUKA MUASISI WA TAIFA HILI ALIYEIPENDA NCHI HII KWA MOYO WAKE WOTE NA KWA VITENDO ALISEMA "CHADEMA NI CHAMA MBADALA" LAKINI PIA NDIYE MWASISI WA MFUMO WA VYAMA VINGI KWANI ALIJUA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA HILI.
 
lakini mi si mlaumu anachokifanya ndio mwisho wa uwezo wake wa kufikiri hivyo anatuzihirishia kuwa yeye ni kilaza namna gani na hata cheo alichopewa si kwa uwezo wake wa kiuongozi bali ni muendelezo wa kujuana na kUpozana.
 

Hawa watu wanafikri CCM ndio dunia ee, ikipigwa chini watakimbilia wapi? Ocampo njoo Tanzania ufisadi umezidi!
 
Nilishasema mtaalamu wa alama za nyakati wa ccm au alishakufa au walimdhulumu! Kwakuwa kila linalotendeka ndani ya ccm ni kuongeza tatizo sikupunguza. Kimsingi nape alitakiwa kupewa MAJINI ya ccm kwanza kabla ya kupewa uropokaji. Hakuna mtu wa kuiokoa ccm kwa sasa zaidi ya cdm kuchukua nchi!!
 
lakini mi si mlaumu anachokifanya ndio mwisho wa uwezo wake wa kufikiri hivyo anatuzihirishia kuwa yeye ni kilaza namna gani na hata cheo alichopewa si kwa uwezo wake wa kiuongozi bali ni muendelezo wa kujuana na kUpozana.

Waliangalia mtu amabye anaweza kupeperuka ovyoovyo wakawaweka pembeni wenye heshima!
 

TATIZO NI UBAGUZI, WALIANZA KUWABAGUA WANACCM WENZAO KWA KUUNDA MTANDAO. wALIPOFANIKIWA KUMUINGIZA JK IKULU KAMA ALIVYOTABIRI MWALIMU NYERERE, ILE DHAMBI YA UBAGUZI IKAANZA KUWATAFUANA HAWAKUBAKI WAMOJA WAKAANZA KUPIGANA VITA VYA URAIS WA 2015 NDIPO SITAA AKATUMIA MADARAKA YA SPIKA KUJIFANYA ANA UCHUNGU SANA NA HII NCHI KUMBE ALITAKA KUMMALIZA LOWASSA, HIVYO AKAKOMALIA KASHAFA MOJA TUU YA RICHMOND NA KUACHA ZINGINE AMBAZO HAZINA WAGO,BEA URAIS KAMA VILE MEREMETA, KAGODA, N.K.

SITAA AKIWA SPIKA ALIRUHUSU MARA KADHAA PINDA KUJIBU KUWA HOJA YA UFISADI WA MEREMETA INAHUSU USALAMA WA TAIFA HADI ANAMALIZA KIPINDI CHAKE WALIOHUSIKA NA UFISADI HUO NA MWINGINE MWINGI AMBAO HAUKUWA UNAAMBATANA NA WAGOI,MBEA URAIS WALIPETA KAMA VILE NI WATU WASAFI. JE HUKU NDIO KUMUIGA BABA WA TAIAFA. WOTE KATIKA CHAMA CHA MAGAMBA NI MAFISADI TUWAACHE WANG\OANE MENO HADI WAISHIWE NGUVU KABISA.
 

Nimeipenda hii post
 

Tanzania mpya inanukia! Tuonyesheni mshikamano tulete matumaini mapya! tuachane na kugawiwa kanga za CCM!
 
Nape nakusubiri baba nikukabidhi ushauri niliokukusanyia maana niliona wewe huwezi kukusanya ushauri
 
watavuana magamb hadi nguo.........hii ni ishara kuwa hawakutakiwa kupewa dola mwaka jana hawa
 
Nape si unaona watu wanavyokupa feedback, kama unajua kutumia maoni ya watu chukua haya hapa kajifunze kuadapt
Nape niliwahi kukushauri"uza sura facebook nunua hekima na busara JF"Nape unapashwa elewe hali halisi ilivyo hivi sasa katika CCM na CCM kama walikua na nia nzuri na si kukutoa kafara-walitegemea uwasaidie kujisafisha hivyo unapashwa kuzipima kauli zako vizuri na kusoma upepo kabla ya kuandika au kutamka.ССM au viongozi wa CCM sio wajinga kukimbia midahalo katika vyombo vya habari pamoja na kuvimiliki vyombo hivyo.Wanafahamu hali fika zaidi yako wewe hali hilivyo upepo wa kisiasa masakosa yao na kutokua na majibu yake na madhala ya kuvitumia vyombo vya habari na mtandao bila ya kujiandaa na bila hoja.Nikiangalia mazigira yote ya wewe kupewa nafasi hiyo ya uongozi hapa naona mazingira yananifanya niamini ya kua uamuzi wa CCM kukupa nafasi hiyo kulilenga na kunalenga kukuadhibu na kukumaliza kisaisa kwa kutolewa kafara zaidi ya kukisaidia chama CCM chenyewe.Sababu ya kunifanya niamini hivyo;Kwanza uzoefu wako katika uongozi na wakati uliopewa uongozi wenyewe sisemi ya kuwa wewe kiongozi mbaya hapa namaanisha uzoefu na muda uliopewa nafasi hiyo nyeti.Chama kiko katika kipindi katika mawimbi na dharuba nzito au tuseme kinaelekea ukingoni ambapo kinahitaji viongozi wenye uzoefu mkubwa kukabiliana na hali hiyo na pili muda mfupi kabla ya kushika au kupewa nafasi hiyo kulikua na tatizo la kufukuzwa umoja wa vijana na ombi la kuvuliwa nafasi zote za uongozi na uanachama wa CCM! Hapa mantiki ya CCM hainiingii kichwani kwa wewe kupewa nafasi hiyo na hapa kuna mawili hawakuwa makini katika uamuzi wao au walifanya makusudi ili kukuadhibu na kukuua kisiasa baada ya kugundua kwamba ulikua au tetesi za miongoni mwa wahusika katika mpango wa kuwasaliti CCJ.Hivyo kwa vile umeisha nasa katika ndooano Nape unapashwa kua makini katika mambo yako na sio kukurupuka mbomuau silaha ya kujimaliza umeibeba mwenyewe!:hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari:
 

Wa bure kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hivi huyu Nape wa sisiema ndo anayetumia id ya Nnauye jr?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…