Kama ni mwenye kujifunza tayari atajifunza sana tu
Kama Mbunge wenu Komba?Hakuna hoja hapa, wewe na ka barua njaa kako ni dalili wazi za kutumwa na Mbulushi, hivi wewe utamshauri nini Nape? Eti producer, mi nakushauri ubadili jina na ujiite muimba taarab.
sasa wewe unamshauri aige wazururaji? haya ngoja tusikie na ushauri wa wasomi wengine wa CDMatufuate tutamshauri kuhusu information technology, usage and privacy - unapoandika kitu kwenye mtandao basi ujue mtu yoyote duniani anaweza ku-access so long ana internet.
hata mimi nilishangaa wakati jamaa anapost kwenye facebook - duh hata viongozi wenzake wa CCM wakiona hizo post watajisikiaje?
aige mifano ya vijana wenzake kama akina Zitto, Mnyika aone njisi wanavyotumia mtandao.
Hivi kwanini Makamba alipewa Ukatibu mkuu CCM?
Hivi kwanini Sitta Alinyimwa nafasi ya UspikaThis Time round?
Hivi kwanini Nape Kabadilika sana?
Kama ukijibu haya maswali Kiufasaha, Nitakwambia ni kwanini hata Akitokea Mtu aliyefanana Kitabia na Obama Au Koffi annan, Akipewa madaraka CCM atabadilika kama Alivyofanya Nape.
Mkuu tatizo wanadhani tunapowapa ushauri sisi nitofauti na ccm, wengi wetu humu ni wale tunaotaka maendeleo ya nchi yetu ufike mda tukajivunia kuwa sisi ni WATANZANIA, mimi naipenda sana nchi yangu ila kwa yanayotokea nchini SIYAPENDI, NAPENDA TANZANIA IWE NA MIPANGO DHABITI YA KUTOKA KWENYE HUU UMASIKINI, nchi hii mpaka leo umeme ni tatizo maji safi na makazi ya watu hakuna, na watu wanazidi kujaa mijini tuu, Nililitegemea mtu kama NAPE aweze kuongelea mambo hayo! Mbona makamba jr huwa tunamuunga mkono baadhi ya mambo yake ( ingawa sometimes anakuwa kama baba yake) Nape tulikuunga mkono uliposema mafisadi watoke ndani ya ccm na siku Tisini tunazisubili, Ulitakiwa pia uongee ulipofikia achapumba kijana! ( mimi nimwanachama wa ccm lakini ile ya Nyerere na si hii ya MAGAMBA)Nape chukua points hizi kama dira na mwongozo ktk shughuli zako za kisiasa. Kamwe usimchukulie mwandishi wa kama adui yako. Huyu ndiye rafiki wa kweli. Ameweza fanya tathmin kama mwanajamii akagundua baadhi ya madhaifu yako na kuyatolea ushauri. Ingawa ktk ushauri wapo ambao wameusawazisha zaid wote wakiwa na lengo la wewe kunyookewa na mambo yako..naamini miongon mwayo yamesababishwa na jamii yako ya karibu uliyokuwa nayo kabla...muungwana na mzalendo wa kweli ni yule anayezibeba challenge zinazomface ili ziwe chachu ya kumuonyesha njia kule anakoelekea.. Remember, to run away frm the problem z not a proper way of solving them, sit down an make a deeply THINK!! BIG UP Producer na wale mlochangia hili.
Ukitaka kutuita wasomi wa CDM tutakuwa kweli wasomi wachadema kwani hapa kuna mtu kasema yeye yupo chama gani mjinga wewe!sasa wewe unamshauri aige wazururaji? haya ngoja tusikie na ushauri wa wasomi wengine wa CDM
Nape anatumiwa na mafisadi, baadae wanam-dump kama makatibu waliopita- bora angebaki ccj
Anaogopa kuingia jamvini au bado yupo UDOM
Mkuu tatizo wanadhani tunapowapa ushauri sisi nitofauti na ccm, wengi wetu humu ni wale tunaotaka maendeleo ya nchi yetu ufike mda tukajivunia kuwa sisi ni WATANZANIA, mimi naipenda sana nchi yangu ila kwa yanayotokea nchini SIYAPENDI, NAPENDA TANZANIA IWE NA MIPANGO DHABITI YA KUTOKA KWENYE HUU UMASIKINI, nchi hii mpaka leo umeme ni tatizo maji safi na makazi ya watu hakuna, na watu wanazidi kujaa mijini tuu, Nililitegemea mtu kama NAPE aweze kuongelea mambo hayo! Mbona makamba jr huwa tunamuunga mkono baadhi ya mambo yake ( ingawa sometimes anakuwa kama baba yake) Nape tulikuunga mkono uliposema mafisadi watoke ndani ya ccm na siku Tisini tunazisubili, Ulitakiwa pia uongee ulipofikia achapumba kijana! ( mimi nimwanachama wa ccm lakini ile ya Nyerere na si hii ya MAGAMBA)
anapata sapoti na kuvimbishwa kichwa toka juu maana hapa naona moja ya sms zake anazopokea inasema..''kazi nzuri umefanya singida, ushindi lazima upatikane fanya kazi bila uoga...safi sana''..........
Kumjadili Nape mnapoteza muda wenu wakuu ni bora hata msiandike lolote . CCM ndiyo mwisho wake .Nape ni kilaza kama walivyo vilaza wengi ndani ya CCM na mchumia tumbo hana uchungu na Nchi wala hajui nini asema akiwa Jukwaani .Yeye ni kuropoka tu
sasa wewe unamshauri aige wazururaji? haya ngoja tusikie na ushauri wa wasomi wengine wa CDM