Kwa jinsi ninavyomfahamu nape yeye huwa anaanzisha mada na kuikimbia. Hata facebook kuna picha aliweka akaanza kuijadili lakini baada ya hapo hajawahi kuonekana kujibu hoja. Picha hiyo ya wakina kambarage na malecela naona wanajadili watu wengine tu lakini yeye huyooooooooo kakimbia. Nondo hizi haziwezi huyu mccj. Wamempa kazi ngumu hawezi kujenga hoja maana na yeye si msafi............