Nape: I like to be an optimist, but I like to be realist too

Baada ya serikali kupigwa chini sakata la makinikia,sasa imekuja na kampeni ya ku-confuse akili za watanzania,kuwavuruga wasijue haya mambo yameishaje


Bora nape alikaa pembeni,nina uhakika atashuhudia anguko kubwa la utawala
aisee mungu anatuona
 
Nape Kaka yangu jiandae kukatwa 2020.Mwenyekiti lazima awashughulikie so jiandae kukaa kijiweni another 5 years.Najichekesha mwenyeww
Siku hizi ana jifanya upinzani ni marafiki zake hasa Chadema.
Angeweza kwenda ACT kwa sababu ya urafiki wake na Zitto lakini ACT inapulia mashine. My guess, anaweza kuhamia CUF kwa sababu inakubalika maeneo Mtama zaidi ya Chadema.

Whatever route he decides, it is the beginning of the end.

Ninacho mwa admire Nape ana kashfa ya ufisadi na sio materialistic!
 
We unafikiri hapa Nape Nauye alikuwa anamlenga nani eti?

Nimeikuta huko IG Leo katika alakati zangu za kuperuzi insta..

Screenshot_2017-10-22-13-02-39.png
 
Baada ya serikali kupigwa chini sakata la makinikia,sasa imekuja na kampeni ya ku-confuse akili za watanzania,kuwavuruga wasijue haya mambo yameishaje


Bora nape alikaa pembeni,nina uhakika atashuhudia anguko kubwa la utawala
Elezea kidogo SERIKALI imeshindwa vipi swala la makinikia?
 
Hukuna jipya chini ya jua! Lakini mbona mlitaka tushangilie kulikuwa na jipya lipi?
Nani alikutaka?zaid ya wewe kujitaka na kujipa kazi kubwa na ngumu sana ya kupinga?yani SERIKALI isifanye kitu kisa kikundi flani kitakuja kupinga tena kwa maslai yanayoongozwa na CHUKI zao binafsi?
 
Pole sana MIGA siyo court ni marithiano yaliyoingia Tanzania na dunia ya matajiri.Alichosema Lissu kabla ya kufanya blunder tunitoe kwenye umoja huo ili tumalizane hao ndani kimyakimya.Baadala ya kumuuliza mnataka kumuua.Ila siku mkishtuka mmechelewa sana
Mikataba mingap hapa Tanzania inasimamiwa na MIGA?
 
Back
Top Bottom