Nape: I like to be an optimist, but I like to be realist too

Ila Nape ni mshenzi sana wacha asugue kipindi kile cha kufungia bunge live alivyo kuwa na dharau wakati kina Zitto, Lisu nk wanapinga huo uhuni

Ale alipo peleka mboga blali fekesi
 
Nape Kaka yangu jiandae kukatwa 2020.Mwenyekiti lazima awashughulikie so jiandae kukaa kijiweni another 5 years.Najichekesha mwenyeww
Nape hawezi kukatwa Mama...haweziii...

Nape ndio atailead campaign team ya Ngosha 2020..

Kinyume na hapo Ngosha atakaa...
 
Mbona unapiga ramli?coz hata swala la deni halijaisha ingawa unasema tumepoteza. Haya nayo unasema ni maigizo. Hivi hizi ramli zinatofaut na zile za TUTASHITAKIWA mara MIGA mara hawawez kuja kujadl ujinga mara majadiliano yamevunjika?TUKISEMA BAVICHA sikuiz mmegeuka wapiga ramli tunakosea?
Unaakili za mende hujui kama wamlikataa hilo deni??Akili zenu kashika bashite
 
Wewe akili huna siwezi kukuthibitishia
Sawa mkuu,jua humu jf kila mtu sio popoma. Jitaid kuwa unaongea kitu ambacho ukiulizwa 100% unaweza kukitetea. Siku nyingine usirudie kuropoka.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Sawa mkuu,jua humu jf kila mtu sio popoma. Jitaid kuwa unaongea kitu ambacho ukiulizwa 100% unaweza kukitetea. Siku nyingine usirudie kuropoka.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Nilivyokuambia kuwa akili huna ndio ukweli huo wewe umesema kuwa deni linalipwa deni lipi linalipwa na nani?? Litalipwa lini?? Muache kujipongeza kwa unafiki Mara muwaite wezi Mara walipe deni kipi sahihi uache ujinga??Unambie ulichokitetea ni kipi??
 
Mkuu umepanic sana. Kwa magufuli mtasubiri sana afeli.
 
Mkuu umepanic sana. Kwa magufuli mtasubiri sana afeli.
Ashafeli vingi sana viwanda amefeli kuja viwonder,mapato hali tete,ajira mpya kizungumkuti ,million 50 ngoma ngumu,ufisadi hakuna aliyefungwa sasa kafaulu nin??
 
Ashafeli vingi sana viwanda amefeli kuja viwonder,mapato hali tete,ajira mpya kizungumkuti ,million 50 ngoma ngumu,ufisadi hakuna aliyefungwa sasa kafaulu nin??
Endelea kuzungusha mikono.mara paaaap 2020 hii hapa
 
huyu apambane na hali yake si alijua ataonekana live yeye peke yake, naona sasa hv tupo wote twitter na jf halafu kuna yule mwanadada shuzi sijui ndo yupo live. maisha bwana
Mshikaji unajua kunanga dah hatari
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom