Nape: I like to be an optimist, but I like to be realist too

Nape Kaka yangu jiandae kukatwa 2020.Mwenyekiti lazima awashughulikie so jiandae kukaa kijiweni another 5 years.Najichekesha mwenyeww
Not necessarily, yule kwao ni mtoto, atapita hata akiwa ACT maana CDM hawezi kuja.
 
Mmepata hayo matrillion??
Hatujapata. Vipi Tanzania iliingia kwenye majadiliano ya kupata matilion tu?kama jibu ndio haya makubaliano mengine yametoka wapi na je ni hasara au faida kwa taifa?
 
huyu apambane na hali yake si alijua ataonekana live yeye peke yake, naona sasa hv tupo wote twitter na jf halafu kuna yule mwanadada shuzi sijui ndo yupo live. maisha bwana
 
Itakuwa CHADEMA maana ukiwakosoa tu (au ukawa na mtazamo tofauti) lazima wakuporomoshea mapovu
Si mliona wenyewe walivyo poromosha mapovu kwa Jerry Muro, na Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam
 
Hatujapata. Vipi Tanzania iliingia kwenye majadiliano ya kupata matilion tu?kama jibu ndio haya makubaliano mengine yametoka wapi na je ni hasara au faida kwa taifa?
Hayo makubaliano mengine ni hayo maigizo na ngonjera in reality tumepoteza shauri ya ujuaji na unafiki wa watu wachache
 
Hayo makubaliano mengine ni hayo maigizo na ngonjera in reality tumepoteza shauri ya ujuaji na unafiki wa watu wachache
Mbona unapiga ramli?coz hata swala la deni halijaisha ingawa unasema tumepoteza. Haya nayo unasema ni maigizo. Hivi hizi ramli zinatofaut na zile za TUTASHITAKIWA mara MIGA mara hawawez kuja kujadl ujinga mara majadiliano yamevunjika?TUKISEMA BAVICHA sikuiz mmegeuka wapiga ramli tunakosea?
 
Screenshot_20171022-132858.png

"Acha Ushamba"
NAPE
 
Nani alikutaka?zaid ya wewe kujitaka na kujipa kazi kubwa na ngumu sana ya kupinga?yani SERIKALI isifanye kitu kisa kikundi flani kitakuja kupinga tena kwa maslai yanayoongozwa na CHUKI zao binafsi?
Maelezo yako yanaonesha wewe ni mmojawapo wa wanaotaka tusifie!
 
Back
Top Bottom