Nape: I like to be an optimist, but I like to be realist too

3ca4f677-5067-47a3-b8b3-fbb8d7d968f5.png
Ni optimistic gani anatarajia kwa CCm kutawala mama Tanzania kwa zaidi ya miaka 54?

Kuhusu Realistic hapo yeah. hiyo Haiepukiki.
 
Sasa kwani hapo jipya lipi!
Mbona mnakuza yasiyo kuzika
Udaku Kwenu ndio Kazi kutwa!!
Unapokua kiongozi hata,ikatokea ukapumua tu. Watu wanafuatilia na kusikilizia jinsi unavyoshusha pumzi kuangalia inatokajetokaje..
Tena wanaweza kuchapisha makala kuelezea ulivyokua ukihema.

Nape hajajiandikia tu ilimradi.bali Ana ujumbe mzito anauwakilisha kwa wahusika
 
Akili zimemrudi sasa..Kumbe ukiwa nnje ya ulingo akili inafanya kazi vizuri eeh. Namuona Nyalandu nae kama zimeanza kurudirudi.
Nusu ya wabunge wa CCM akili zikiwarudi hii nchi itasonga mbele kwa itaisimamia serikali ipasavyo na sio kama sasa serikali inaisimia bunge.
 
wazee wa MIGA mnatamani kusikia BARRICK QAKATAA KATA KATA KUJADILI NA GOT ...WASEMA WATAENDA KUISHITAKI TANZANIA MIGA!!

KWI KWI KWI!!

Pole sana MIGA siyo court ni marithiano yaliyoingia Tanzania na dunia ya matajiri.Alichosema Lissu kabla ya kufanya blunder tunitoe kwenye umoja huo ili tumalizane hao ndani kimyakimya.Baadala ya kumuuliza mnataka kumuua.Ila siku mkishtuka mmechelewa sana
 
Acha kumfundisha uoga wewe, Nape si mtoto. Anaelewa zaidi yako. Embu tujulishe, wewe umetolewa bastola hadharani mara ngapi? Ushauri wako peleka rumu kwako basi.
Kutolewa bastola hadharani ndo kipimo cha kuelewa mambo zaidi? Sometimes mtu unaweza kuonekana mwerevu mpaka pale atakapoamua kufungua mdomowake
 
Namuelewa sana jamaa, shida ni moja tu anapenda kucheza na hadhira, ningekuwa mimi ningekuwa kimya kama hakuna kilichonitokea nadhani ni best way ya kuwin battle yeyote.
 
Back
Top Bottom