Nu mpumbavu tu anayeweza kufikiri serikali inaweza kufanya hivyo.Hiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
Kwani kuna tenda iliitishwa ili makampuni washindanishwe?Kabla ya hao DP WORLD ni makampuni gani uyasemayo yalikuja na "ofa" yenye kukuridhisha zaidi ya hao WAARABU....
Nitajie hapa......
Umeusoma waraka?Tuache unafiki na chuki maana hivyo haviwezi kutufikisha popote zaidi ya kuliangamiza taifa letu.
Waraka hauna maana yoyote zaidi ya kuchochea chuki ndani ya jamii, TEC wamekosea sana kwa kusukumwa na mihemko na hisia binafsi bila kujali masilahi ya nchi.
Halafu Mzee wa Upako kimya sana; very intelligent guy!DP WORLD KARIBUNI TANZANIA
Can you prove it?? Huyo jamaa yako vyeti viko hapa mtandaoni na zero zake. Usiwe mshabiki kipofu. Tunaongea kilicho cha kwiMbowe ni div 0 ila ni mwenyekiti kipenzi wa vijana wenzetu wa BAVICHA [emoji1787][emoji1787]
Wanao ongea ndio walio na uchungu na maslahi ya hii nchi kuliko chawaIdiocy....
Mh.Nape yuko sahihi.....
Maslahi ya nchi yako juu ya IMANI ZA ROHONI ZA WATU.....
DINI YA DOLA LETU NI AMANI ,UTULIVU NA USTAWI [emoji120]
#SiempreJMT[emoji120]
MImi ni Mkatoliki na siuungi mkono huo Waraka hata kama Kanisani nilikuwepo.Kwa maono yako 100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Hivi huamini kuwa CCM haina uhai hata sasa, ife mara ngapi?Mama akiendelea kukaza shingo na lile lidude la mkataba *“CCM”*itafia mikononi mwake.
Hata kama wote hawaungi mkono tec wamepigwa stop kiaina kupita mitaani kuutetea. Fikiria Mpango, Tulia nk. watasimama hadharani na kuwapinga maaskofu wao, sawa lakini kwa kuasi au kushutumu?Kwa maono yako
100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini basi kila mmoja anakiamini?
Tutausoma waraka tena na tena kwenye Jumuiya zetu ndogo ndogo kila Jumamosi tukutanapo.Huyo wa kupiga stop jumuiya atakuwa anakwenda kila Jumuiya kuzuia?Hata kama wote hawaungi mkono tec wamepigwa stop kiaina kupita mitaani kuutetea. Fikiria Mpango, Tulia nk. watasimama hadharani na kuwapinga maaskofu wao, sawa lakini kwa kuasi au kushutumu?
Msimamo wa RC ndio msimamo wa waumini wote wa RC, other wise uhame kanisa, na uzuri wa RC hawabembelezi waumini km akina mwamposa n.kKwa maono yako 100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Mbowe ni div 0 ila ni mwenyekiti kipenzi wa vijana wenzetu wa BAVICHA [emoji1787][emoji1787]
Askofu Shoo kampa za uso leo hivyo basi hoja yake nyepesi ya jana imezimwa kama mshumaaKwani Prof.Issa Shivji ni baniani ?!!
Mh.rais Kikwete yuko sahihi kwani ndani ya jambo hili la DP WORLD kuna wanaopinga kidini ,ubaguzi wa rangi na wako wale wanaoitaka Tanganyika dola kwa kupitia kumbagua mh.Rais SSH na uzanzibari wake....
#Kongole kwake Rais Kikwete [emoji120]
Acha kupotosha hajaunga mkono limkataba hilo libovu la kimangungo msimlishe maneno Askofu jipangeni upya maana alichofanya Shoo ni kupita mlemle kwenye tamkoHaijalishi....
Hata Prof.Issa Shivji ni muislam ila anapinga DP WORLD....
Askofu Dr.Shoo naye ni K.K.K.T ila anatuunga mkono wazee wa kuwataka DP WORLD....
Unahamahama dini kisa nini ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Limewafunua macho wengi wamejua raslimali zetu si salama.Kwa maono yako 100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Nape ni rc itakuaje sasa mtamfukuza?Msimamo wa RC ndio msimamo wa waumini wote wa RC, other wise uhame kanisa, na uzuri wa RC hawabembelezi waumini km akina mwamposa n.k
Huna akili 🚮Pale utakapo jua kuwa mtu mweusi ni mtumwa wa mtu mweupe utanielewa na wala huta jisumbua kutetea upuuzi. Mimi nataka waarabu wakabidhiwe hiyo bandari bila kuzingatia hoja zozote na pia hii sio kwa faida yako wala kwa faida ya mtanzania yoyote hii ni kwafaida ya watawala wa hii dunia ambao hawafi na wanaishi milele. Wewe utapiga kelele kwani bandari ipo pale siku zote imekusaidia nini?
Wacha watu watengeneze channel za fedha tumalizane na hili swala Mambo mengine ya msingi yaendelea