Inachokifanya TEC Kitaalamu kinaitwa Moral Licensing

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,155
Reaction score
892

✍️Moral Licensing maana yake ni kujipa uhalali wa kimaadili. Au wengine huita “Image Laundering”, kwa kiswahili ikiwa na maana ya Kufanya matendo ya hisani au shughuli zinazoonekana nzuri ili kufunika makosa na kurejesha sifa mbele ya jamii.

Hiki ndio wanachokifanya TEC.

Hakuna asiyejua uhusika wa TEC kwenye kuchochea machafuko ya Oct. 29, TEC ililipa watu kufanya kampeni za kumchafua Rais SSH na Serikali mtandaoni, TEC ilitumia mtandao wake wa Wakatololiki ndani ya serikali kufanya uzandiki ndani ya serikali.

Mnachotakiwa kujua ni kwamba, hasira za TEC kwa serikali ni baada ya DPW kuwekeza Bandarini, kitendo kilichoziba mianya yote ya wizi na ukwepaji kodi wa TEC.

TEC inapotoa barua ya kuomboleza vifo vilivyotokea katika matukio ya Oktoba 29, swali muhimu linabaki kuwa je, kuomboleza pekee kunatosha bila kuwepo kwa uwazi na uwajibikaji? Kama ni maombolezo tu, hata tumbe ya Jaji Chande ilitoa pendekezo hilo.

Matamko ya pole na rambirambi ni muhimu, lakini isiwe kichaka cha kujisafisha kuisahaulisha jamii ushiriki wenu katika machafuko yale. Watoto wengi wa Kitanzania walikufa kwa sababu ya waraka zenu, matamko yenu, hata siku moja hamkuwahi kutoka kuwausia watoto wa Kitanzania kulinda amani yao, kama walivyofanya Waislamu, bali nyie mlitoka na kutia spiriti zaidi palipo kidonda.

Nasema wazi, mnachofanya TEC ni unafiki, na Mungu hapendi. Katika yale machafu yaliyotokea Oktoba 29, TEC mnahusika kwa asilimia zaidi ya 70. Ni kawaida yenu kupenda machafuko Wakatoliki, mlishiriki mauwaji wa Kimbari Rwanda 1994/96, Mmeshiriki biashara ya Watumwa na hadi leo, mnakesi za kufira na kulawiti watoto katika madhabahu yenu. TEC acheni unafiki, Mwacheni Samia afanye kazi yake.
 
Kweli kabisa, lakini ukisema unaonekana chawa. Viongozi wa dini Tanzania wamejipa utakatifu na mamlaka ambayo kimsingi hawana na wamekuwa wakivitumia vibaya.

TEC kupitia father wao Kiti… hawawezi kwepa madhara waliyosababisha mwaka jana kutokana matamko yao. Haya wanayofanya ni maigizo tu na ndo maana wanapambana sana eti Serikali iombe msamaha kwa makosa yao wao.

Damu zisizo na hatia zitawandama sana hao akina Kiti…. na waache kumkejeli Mungu huku wakimtukana Shetani.
 
Wauweni TEC wote mbaki wahubiri ngono ,mauaji na chuki wavaa kobazi,Maza fanta.

TEC ndo waliua maelfu ya watanganyika au huyo mama ushungi!?
Hao TEC hawana huo utakatifu wanaojipa, sema wanatumia ujinga wa sisi kuhadaa watu na wamehusika kwa sehemu kwa kilichotokea mwaka jana.

Taasisi za Dini afrika na Tanzania zimejaa wizi na katika kuhalalisha wizi wao wamekuwa wakijifanya wanaikosoa serikali. Wanachukua sadaka, wanachukua michango kutoka kwa waumini wanajenga vitega uchumi kama shule, hospitali, na vyuo lakini hao waumini wao hawapati huduma bure katika maeneo hayo pamoja na kwamba ndo wamechangia.

Wanapata msamaha wa kodi kwa vifaa vyao vingi na miradi. Taasisi kama hizo zinapata wapi ujasiri wa kuisema Serikali na kuanzisha vurugu ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom