Olemandalo
Senior Member
- Dec 7, 2012
- 117
- 12
Ushauri kwa Nape na wenzake.
Kama CHADEMA wameishiwa sera, wamefilisika kisiasa, hawana mvuto kwa
umma, au jingine linalofanana na hayo; then anatakiwa kushangilia na
kisha atulie sasa kwa kuwa kazi yake imeshakuwa nyepesi. CCM wote
watulie majumbani kwao kwakuwa mshindani wao wa karibu (CHADEMA)
kachemsha. Kelele za nini? Tangu lini CCM akawa mshauri wa CHADEMA eti
kwa lengo la kuiboresha na kuitakia mema? Naungana na Ndugu
Crashwise hapo juu kwamba sio kila asemacho huyu dogo mnakileta
humu as a burning issue, mnatujazia saver bure!
magamba hawana la kutuambia ss makamanda.