MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Ipo siku CCM watakujajilaumu kwa kumpa mtu kama NAPE cheo kama hiki
Ukweli upi? Ukweli huu mbona haelezwo CUF wala NCCR mageuzi?Tatizo lenu CDM hamtaki kuambiwa ukweli
[FONT=courier
new]Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, NAPE NAUYE,
amesema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kimefilisika
kisera,na badala yake kimebakia kuwa chama cha Wanaharakati!
Hivyo aliishauri CHADEMA, kuachana na Siasa hizo za Kiharakati!!
[/FONT]
Source: Gazeti la Mtanzania
Ni lazima aitaje kwani kwa kufanya hivyo tu anaipaisha na anakuwa kesha fanya mkutano wa kuinadi CDM bila kujijua.Huyu jamaa hawezi kulala bila kutaja CHADEMA! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Chama kikuu cha upinzaniHuyu jamaa hawezi kulala bila kutaja CHADEMA! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, NAPE NAUYE, amesema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kimefilisika kisera,na badala yake kimebakia kuwa chama cha Wanaharakati!
Hivyo aliishauri CHADEMA, kuachana na Siasa hizo za Kiharakati!!
Source: Gazeti la Mtanzania
kweli huyu jamaa hayuko sawa sawaHuyu jamaa hawezi kulala bila kutaja CHADEMA! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Tena ni pentium 1 maana uki click shida za wananchi jibu inalokupa bado chadema chadema kila saa hana fikra mpya zaidi ya kuiwaza chadema.....na bado lazima mtoke nduki madhulumati wakubwa nyie!!!!Huyu jamaa si ndo alipata F ya CIVICS? kama ndo yeye muacheni tu make ubongo wake ni sawa na wa Konokono, yaani uko slow vibaya mno