Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,463
- 7,256
Huyu jamaa hawezi kulala bila kutaja CHADEMA! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Ndio ujinga waliolishwa na shemeji yao Absalom Kibanda!
Mkuu isikupe taabu sana, ikiwa Jerry Silaa alisema yeye anapanda kwenye chama kwa kuitukana CHADEMA unategemea nini? tutegemee pumba nyingi sana toka kwa hawa ma CCM!