Labda hujitambui Ndugu, Nadhani huna tofauti na huyu VUVUZELA NAPE, asietaka kuona CDM ikiendeleza siasa za Kiuwarakati!!siyo kils mavi lazima myalete humu..
Huyu jamaa hawezi kulala bila kutaja Chadema! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Huyu jamaa si ndo alipata F ya CIVICS? kama ndo yeye muacheni tu make ubongo wake ni sawa na wa Konokono, yaani uko slow vibaya mno
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, NAPE NAUYE, amesema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kimefilisika kisera,na badala yake kimebakia kuwa chama cha Wanaharakati!
Hivyo aliishauri CHADEMA, kuachana na Siasa hizo za Kiharakati!!
Source: Gazeti la Mtanzania
Ivi katoa matokeo yake ya 4m four na six hadharani?
mbowe ameliona hilo na kulizungumzia kwenye mkutano wa mbeya.Mmmh mwenye mawazo finyu ataliona hilo
Hivi matokeo ya Nape ndio yatawaingiza ikulu? Mnaingizwa choo cha kike na nyie mnafata, leteni sera zenu sio kufata mziki wa Nape.Au kama vipi atoe namba yake ya mtihani tufuatilie wenyewe