Nape yuko sahihi kabisa.
Naifananisha RB na Mungiki.
MSOME HUYU ALIYEKUAJIRI, NA KUKUPA ID HIYO NA TABLET UNAYOTUMIA....Nape is very right..red brigade ni magaidi
........... MSOME HUYU MTU ANAYEKULIPA UJIRA HAPO BUKU 7 LUMUMBA FC....CDM ni chama kinacho fuga magaidi
Nape ni mropokaji. Hekima ni mali .Mwenye hekima si mwepesi wa kusema.CCM ndiyo mwanzilishi wa vikundi vya ulinzi.Haya yanayotokea ni mazao ya ccm kufanya mambo pasipo kuuona athari iliyo mbele ya safari.Yako mambo mengi yatakayo igharimu ccm.Wananchi hatudanganyika!Akiongea leo mkoani Dodoma katika mkutano wa hadhara,katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,bwana Nape Nnauye , amekielezea kikundi cha Red Brigade kama kikundi cha kigaidi kinachoweza kuvunja amani ya nchi na kuwataka wananchi kuwa macho na vikundi vya aina hiyo.
CHANZO:ITV
My take;
Hivi kati ya Red Brigade na watuhumiwa wa Escrow,nani anahatarisha amani ya nchi hii?!
Hakili za Nape na Mussa Allan zinafanana zimeka ki choo choo tuu