Nape: CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli

Nape: CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli

my friend pombe sio muadilifu kihivyo,aliwezaje kushauri uuzaji nyumba,hebu amkamate na mnunuzi wa kivuko cha 8b na hakifanyi kazi,nyumba za chato hela katoa wapi,barabara deni trilion moja alokuwa waziri nani,yoote ccm ni swa na mapanya tu

Sawa, lakini hawa jamaa kwenye vichwa vyao sijui kuna nini? Hawaelewi, inawezekana wanalipwa pesa nyingi ili wajitoe ufahamu.
 
Hawa wanaomsifia Nape walijipanga Mda kitambo kutoa hoja.Lkn hakuna hata mmoja wa CCM Anayependa hapa Rais wetu alipofika.Wamesahau kabisa kuwa nchi ni ya Watanzania
 
Nape ni mwanasiasa mwenye uchungu na ccm + Tanzania Kwa ujumla.... Daima Mungu amuongoze....
 
Ni lini ubongo wenu utafanya kazi sawasawa? Kuna sheria nyingi ni mbovu ktk Taifa hili raisi anaweza kufanya anavyotaka kutokana na sheria hizo mbovu. Suluhisho ni kubadili mfumo ili yeyote akiongoza afuate mfumo mzuri utakao wekwa lakini nyie kila siku hamuelewi. Na ndiyo maana Mkapa na Kikwete hata kama wametumia vibaya ofisi zao Magufuli hawezi kuwapeleka mahakamani. Jamani hebu muelewe hata huyo Magufuli akitumia vibaya ofisi mfumo mbovu unamlinda. Mbona nyie hamuelewi kila siku vipi mnamatatizo gani kwenye vichwa vyenu? Au hela za lumumba? Yaani hamuishi kujiaibisha humu. Hata raisi akiamua kuongoza nchi kwa maadili mazuri, lakini mfumo uliopo huwezi kumpeleka mahakamani kama akitumia vibaya ofisi yake. Lakini nyie hamuelewi. Ngoja niwaache inawezekana hizo ni pesa za lumumba zinawapa nguvu ndiyo maana hamuachi kuposti ujinga.
tabu ya akili nyingi uwezekano wa kuchanganyikiwa ni mkubwa mifano ipo hata kwenu (samahani lakini).

Kila kitu hufanya kwa wakati wake na mipango ni kuchagua baada ya muda kila jipu litatumbuliwa.

Sio vipaumbele vyako ndio vya wote nadhani mkulu anarekebisha haya yaliyopo yasio hitaji subla wala vikao vya bunge the atafika kwenye marekebisho ya sheria...Mfano sheria ya masamaha wa kodi nk.
 
Safi sana Nape tumuunge mkono kwa nguvu zote mh, Magufuli kupambana na Rushwa na Ufisadi watanzania wote tupo nyuma yake
 
Nape ndiye amesaidia chama kukwepa anguko la karne kama tu tungemsimamisha Lowassa agombee urais. Nape ndio shujaa wa karne.

Pia huu upuuzi wa watu kudhani eti CCM haiungi mkono jitihada za rais ni vyema wana CCM tukawapuuza wapinzani.

ACHA UONGO WEWE....!?
NAPE WALIMUHITAJI SANA SWAHIBA MEMBE,THRUST FORCE YA LOWASSA NDIYO ILITUPONYA. UNLESS OTHERWISE TUNGEBURUZA MIAKA 10,TENA KIHASARA.
ii
 
Aende zake huko hayatoki moyoni hayo maneno

....mkuu wewe ni zaidi ya wale viumbe wanaoishi sayari Mars, kwa sababu unajua mpaka kilicho moyoni mwa mtu. Kwa nini usikubali yaishe, Nape alisema na bado anasema mafisadi hawafai ndani ya chama chao. Alisema ukweli kuhusu EL na bado anasema JPM aendelee na kasi bila kujali mtu wala nafasi yake ndani ya chama.
Nadhani na wewe ni jipu linalosubiri kutumbuliwa.
 
Back
Top Bottom