Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Nape na makamba ndo think tank wa chama!ccm mbele ni giza kama wanawategemea hawa hawa vijana
think tank wa ukawa et kingunge,sumaye,lowassa,kweli???ukawa mbele nini sasa??
Nape na makamba ndo think tank wa chama!ccm mbele ni giza kama wanawategemea hawa hawa vijana
ukizoeshwa kula Kuku wa kisasa, siku ukipewa wa kienyeji utamkataa na kuhisi sio mtamu.my friend pombe sio muadilifu kihivyo,aliwezaje kushauri uuzaji nyumba,hebu amkamate na mnunuzi wa kivuko cha 8b na hakifanyi kazi,nyumba za chato hela katoa wapi,barabara deni trilion moja alokuwa waziri nani,yoote ccm ni swa na mapanya tu
Chama ni nini..majengo au watu, sera au katiba kama ndivyo magufuri anakuwa katika kundi lipi?Utadhani ccm na magufuli ni vitu viwili tofauti. Mimi nilidhani juhudi za magufuli ni mipango ya chama.
Nape kanifurahisha sana kwa sasa jpm hana mpinzani kwani akiendelea hivi bila kubadilika kuna hatari wananchi kushinikiza kubadilisha katiba ili aendelee kutawala
Tusubiri tuone.
wewe ni mwanamke malaya,hebu fanya analysis ya uchaguzi as if lowasa aliyepata kura 6m....+ akiwa nje ya mipanya buku ccm ndiye alikuwa mpeperusha bendera ya hayo mapanya,unategemea kura 6m zingeongezeka ngapi kama sio zile 8.7m alizopata pombe na hivyo kupata jumla ya 15m nyoko zako
Nape ni waziri wa habari anayesubiri kuabishwa
Ni lini ubongo wenu utafanya kazi sawasawa? Kuna sheria nyingi ni mbovu ktk Taifa hili raisi anaweza kufanya anavyotaka kutokana na sheria hizo mbovu. Suluhisho ni kubadili mfumo ili yeyote akiongoza afuate mfumo mzuri utakao wekwa lakini nyie kila siku hamuelewi. Na ndiyo maana Mkapa na Kikwete hata kama wametumia vibaya ofisi zao Magufuli hawezi kuwapeleka mahakamani. Jamani hebu muelewe hata huyo Magufuli akitumia vibaya ofisi mfumo mbovu unamlinda. Mbona nyie hamuelewi kila siku vipi mnamatatizo gani kwenye vichwa vyenu? Au hela za lumumba? Yaani hamuishi kujiaibisha humu. Hata raisi akiamua kuongoza nchi kwa maadili mazuri, lakini mfumo uliopo huwezi kumpeleka mahakamani kama akitumia vibaya ofisi yake. Lakini nyie hamuelewi. Ngoja niwaache inawezekana hizo ni pesa za lumumba zinawapa nguvu ndiyo maana hamuachi kuposti ujinga.
Wasaalam
Nilihoji inakuwa vipi uongozi wa CCM kuwa kimya kwa kazi nzuri anazo tekeleza Rais wetu na timu yake ya ukamuaji majipu. Leo Azam TV Nape kama katibu Muenezi na MB amekata mzizi wa fitina
Nape ameweka wazi chama sasa kinaunga mkono juhudi za JPM na kusema JPM asiangalie nafasi, cheo wala hadhi ya mtu iwe yupo ndani ya chama ama serikalini.
Wote washughulikiwe Ili chama kipate afya zaidi JPM ameongeza afya ya chama.
Nimeipenda hii!
Km nape ndo kipimo cha uadilifu ndani ya CCM, chenge na tibaijuka ni watakatifu
Tunaweza kufikia huko lakini kwa uadilifu alionao JPM anaweza asikubali maana hana tamaa ya madaraka zaidi ya kiu ya kuwahudumia wananchi wote hasa wanyonge. JPM kamua baba kamua tunajua hutumii ilizi kamua!
Aende zake huko hayatoki moyoni hayo maneno