zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,832
- 8,623
Nape tupambane na mafisadi wetu kwanza.
unajua wewe wkt mwingine sikuelewi!! hapa kidoogo nakupata.
Nape tupambane na mafisadi wetu kwanza.
Ha ha haa Nape bado ana hasira na Dr. W Slaa kweli Slaa ameleta Matatizo Makubwa sana CCM
Duh ! Ni wewe kweli ms ?Nape tupambane na mafisadi wetu kwanza.
Ana neutralize sumu mkuu, hata mimi nilitaka kuamini kuwa MS labda amebadilika lakini kitambo tu kijacho atachafua hali ya hewa kama si hapa basi jukwaa la dini.unajua wewe wkt mwingine sikuelewi!! hapa kidoogo nakupata.
1.Kununua meli kubwa ambayo itafanya kazi mkoa wa dodoma.Hebu wekeni Ahadi za JK tuone kama zote ziko kwenye Bajeti ya Mwaka huu au kama zote ziko katika Mpango wa Maendeleo wa 2010/2015
Hebu wekeni Ahadi za JK tuone kama zote ziko kwenye Bajeti ya Mwaka huu au kama zote ziko katika Mpango wa Maendeleo wa 2010/2015
Ana neutralize sumu mkuu, hata mimi nilitaka kuamini kuwa MS labda amebadilika lakini kitambo tu kijacho atachafua hali ya hewa kama si hapa basi jukwaa la dini.
Bwana mdogo Nape kwa hoja hizi umepotoka kiasi kwani inaonekana uliziandaa kabla na hazireflect uchambuzi wa bajeti mbadala mimi nilitegemea ungekuja na data kwamba mfano Cdm wanasema watakusanya kiasi kadhaa kwenye kodi ya misitu lakini haiwezekani kwa sababu a,b,c au CDM wanasema wakifuta posho itasave this much wewe ukaja na figure tofauti uliyoifanyia kazi.
Otherwise hapa umepiga politiki ambayo backfiring yake ni kwa mwenyekiti wako, je ile miahadi aliyokuwa akiahidi mwaka jana kwenye kampeni iko reflected kwenye budget hii? Meli mpya ziwa Victoria, Reli mpaka Ngara, Umeme wa uhakika 24 hrs etc. Just one thing Nape na haihitaji fedha za kigeni wala ubunifu wa hali ya juu simamieni na serikali yako kupiga marufuku watu kusimama kwenye daladala. Ukiweza hili ndiyo muanze kuzungumzia mambo makubwa makubwa.
Jamani wanaJF Nape ametoa hoja haitaji kushambuliwa bila hoja, mwenye majibu sahihi na afanye hivyo kupitia hutuba yake aliyoitoa. Swali la msingi kwa Nape ikiwa CDM ni waongo kwa ahadi chache walizotoa basi aelewe kuwa CCM watakuwa waongo zaidi kupitia AHADI ZA JK na bajeti iliyowakilishwa majuzi juzi.
Huwezi aminini jinsi ambavyo 96tril zitavyopatika kutimiliza uongo wa JK! Hivi hata viwanja vya machinga complex tano vimeshapatikana? hebu cheki hizo ahadi ni ngapi zimekuwa reflected to and to what extend in budget presented by Hon. Mkulo?