Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Kwa sbb anajua Kigoma wanampenda ZZK anasema angalia Zitto anavyobaguliwa CDM, angalia Chadema walivyomfanya Wangwe hawa watu hawafai kwenda Ikulu.

Kuhusu Wangwe huu ni uchochezi mbaya kama ule wa udini wanaoutumia CCM katika harakati zao za kubaki madarakani kwa nguvu. Poor Nape!
 
Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.

Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.

Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.

Mbona sisi wengine TUNAPATA HOMEWORK? MBUNGE wa KASULU Jina lake ni NANI?
 
Attachments

  • Anaondoka.jpg
    Anaondoka.jpg
    44.4 KB · Views: 382
Last edited by a moderator:

Mbona sisi wengine TUNAPATA HOMEWORK? MBUNGE wa KASULU Jina lake ni NANI?

Mbunge wa Kasulu mjini ni Moses Machali Nccr na Kasulu vijijini ni Mama Buyogera wa nccr

hawa wanafunzi walilazimishwa kukatisha masomo ili weakampokee Nape
 
2005 ccm ilitumia ubaguzi kwa kumdhalilisha waziri mkuu mstaafu,salim ahmed salim kwa kusema ni muarabu,ccm hiyo hiyo 2012 imemteua mwarabu mweusi(msomali)abdurahamani kinana.kinana ni mmoja wa wamiliki wa kampuni yenye tender ndani ya bomba la gesi mtwara dar,ccm chini ya kikwete imempa kazi kinana kuendeleza na kulinda wizi wa rasilimali ya nchi.serikali ya ccm chini ya kikwete inatumia polisi kukandamiza demokrasia kwa kuzuia mikutano mingi ya chadema kwa kisingizio cha kutokuwa na polisi wa kutosha.lakini wanaposisitiza kuwa wataendelea na mikutano yao idadi kubwa ya polisi inasambazwa kwa kuzuia mikutano yao.
Sasa litakalotokea tanzania ni umwagaji mwingi wa damu hadi kufikia 2015 sababu serikari chafu ya ccm haisikilizi wananchi bali inawalinda wachache wao wezi wa mali ya taifa letu,tumeona polisi wakiuwa raia kuanzia arusha,tabora,morogoro,mbeya ,songea na hakuna aliyechukuliwa hatua yeyote kwa mauwaji hayo.wananchi sasa wameanza kujibu mapigo kwa kuua askari,na kuna taafifa kuwa sasa ni jino kwa jino raia wakiuwawa na polisi mchana raia watauwa polisi usiku sasa amani iko wapi kama si ubaguzi uaolelewa na serikari ya ccm?
Mod ukiifuta hii habari nitakuwa nairidisha kila kukicha kwa watu mbalimbali mpaka ujumbe huu uenezwe kwa wapenda amani kote tanzania
 
Leo kaja na gia yake anasema eti wanabodaboda kuanzia leo waibughudhiwe. Amemsimamisha DC hapa anamwambia kama hawezi kazi aseme alete mwingine.
Anayesema haya ni Nape au Mwenyekiti wa CCM taifa ?
 
hivi nape ndio nani vile? simjui kama nayeye anweza sema alete DC kweli
 
Umenikumbusha Nsanzegwako nakumbuka alikuwemo kwenye baraza la Mawaziri wa JK.aaaaah aaha Magamba bwana.
 
Wa kusoma mwogope mungu, na rudia kuandika kilicho sahihi.ndiyo huipendi ccm sa kuzusha uongo humu fb ndo kukinyanyua chama chako? Sasa hv tu hamjapata madaraka,je mkiwa madarakani? Hata hvyo umenda kufanya nn ktk mkutano wa ccm na ww huwapendi,kuna watu haya hawana na ww sidhan hata kama uliwahi kuwa mkweli maishani mwako.

Unataka aripoti uongo, andika wewe basi ukweli, afu hapa ni JF The Home of Great Thinkers na sio fb kama ulivyosema
 
2005 ccm ilitumia ubaguzi kwa kumdhalilisha waziri mkuu mstaafu,salim ahmed salim kwa kusema ni muarabu,ccm hiyo hiyo 2012 imemteua mwarabu mweusi(msomali)abdurahamani kinana.kinana ni mmoja wa wamiliki wa kampuni yenye tender ndani ya bomba la gesi mtwara dar,ccm chini ya kikwete imempa kazi kinana kuendeleza na kulinda wizi wa rasilimali ya nchi.serikali ya ccm chini ya kikwete inatumia polisi kukandamiza demokrasia kwa kuzuia mikutano mingi ya chadema kwa kisingizio cha kutokuwa na polisi wa kutosha.lakini wanaposisitiza kuwa wataendelea na mikutano yao idadi kubwa ya polisi inasambazwa kwa kuzuia mikutano yao.
Sasa litakalotokea tanzania ni umwagaji mwingi wa damu hadi kufikia 2015 sababu serikari chafu ya ccm haisikilizi wananchi bali inawalinda wachache wao wezi wa mali ya taifa letu,tumeona polisi wakiuwa raia kuanzia arusha,tabora,morogoro,mbeya ,songea na hakuna aliyechukuliwa hatua yeyote kwa mauwaji hayo.wananchi sasa wameanza kujibu mapigo kwa kuua askari,na kuna taafifa kuwa sasa ni jino kwa jino raia wakiuwawa na polisi mchana raia watauwa polisi usiku sasa amani iko wapi kama si ubaguzi uaolelewa na serikari ya ccm?
Mod ukiifuta hii habari nitakuwa nairidisha kila kukicha kwa watu mbalimbali mpaka ujumbe huu uenezwe kwa wapenda amani kote tanzania
CCM imewachonganisha POLISI na Wananchi; KWanza kwa kuwapa Maelekezo ya jinsi CCM inataka wadhibitiwe na Pili kwa kuwapa Mshahara Mdogo wakijua kwamba watafidia kwa kula Rushwa kutoka kwa Wananchi.Matokeo yake POLISI imeondokea kuwa Chukizo kwa Watanzania.Asilimia kubwa ya Askari Polisi wameshastukia huu Mchezo wa Serikali ya CCM na wameanza kurudi nyuma.Hawana Morari wa kazi ndio maana waendesha Bodaboda Ishirini tu wanatosha kuwafanya POLISI wajifungie Kituoni.Hawaoni sababu ya kupambana na Ndugu zao wenye Malalamiko kama ya kwao.Sasa JWTZ ndio wanaokoa Jahazi kwa kupambana na Vikundi vidogovidogo kama vya Bodaboda.Bado Kitambo kidogo JWTZ nalo litagundua Janja hii ya Serikali ya CCM na kuanza kurudi nyuma.Hapo ndipo Serikali ya CCM itatamani Ardhi ipasuke.
 
Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.

Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.

Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.

CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.
 
Namuaminia sana huyu jamaa angu mkuu wa wilaya ya kasulu....huwa hateteleki kabisa na tukelele twa churaa daah mkutano umenipita,...sijabahatika kwenda...
 
Jamani hawa watu wa CCM ni mat....a....a.....hira huyu mbunge analalamika eti wananchi wamsamehe kama kuna vitu hakuvifanya zamani sasa kwa vile yuko nje anayaona matatizo ya wanaKasulu na sasa akirudi atashughulikia vizuri.

.
Mwambieni aliye hadi chozi ndoo mtamsamehe kwa maovu yake ila kwa suala la ubunge asahau kabisa.
.
 
Jamani hawa watu wa CCM ni mat....a....a.....hira huyu mbunge analalamika eti wananchi wamsamehe kama kuna vitu hakuvifanya zamani sasa kwa vile yuko nje anayaona matatizo ya wanaKasulu na sasa akirudi atashughulikia vizuri.

Yani bado anandoto za kugombea tu?
Amekuwa mbunge wa maisha?
 
Back
Top Bottom