1. Swali la kwanza kuna mzee kauliza umetuambia kuwa mmefufua reli ya Kigoma nani aliyeiua?
2. Siku 90 ulizotoa kwa watu kuvua magamba hazijaisha?
3. Kila siku mnatangaza kwa Tanzania nzima eti Kigoma mmeibadilisha mbona sisi Kasulu hatuoni?
4. Kuna mtu anasema hatumtaki DC, Umesema ww ndio bosi wa hawa watu tunakuomba uondoke naye?
5. Kulingana na hotuba uliyotoa unaonyesha hamko tayari kutoka madarakani huoni kama nyie ndio mtaleta machafuko ktk nchi hii.
Majibu yanafuata.
joe5 Waha hawana mchezo.1. Swali la kwanza kuna mzee kauliza umetuambia kuwa mmefufua reli ya Kigoma nani aliyeiua?
2. Siku 90 ulizotoa kwa watu kuvua magamba hazijaisha?
3. Kila siku mnatangaza kwa Tanzania nzima eti Kigoma mmeibadilisha mbona sisi Kasulu hatuoni?
4. Kuna mtu anasema hatumtaki DC, Umesema ww ndio bosi wa hawa watu tunakuomba uondoke naye?
5. Kulingana na hotuba uliyotoa unaonyesha hamko tayari kutoka madarakani huoni kama nyie ndio mtaleta machafuko ktk nchi hii.
Majibu yanafuata.
Anaanza kujibu suala la Mafisadi na siku 90,
Nape amesema yeye hakusema siku 90 walioandika ni waandishi wa habari, hatua walizochukua ni kuvunja kamati kuu na wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa wanatoka kila wilaya, wananchi wanamzomea hapa vp mafisadiiiiiiiii?
Kimsingi hakuna anachokijibu hapa anarukaruka tu anasema wameanzisha utaratibu wa Chama kusimamia serikali.
Jamani hawa watu wa CCM ni mat....a....a.....hira huyu mbunge analalamika eti wananchi wamsamehe kama kuna vitu hakuvifanya zamani sasa kwa vile yuko nje anayaona matatizo ya wanaKasulu na sasa akirudi atashughulikia vizuri.
Hhehehhehe sasa huku ni unafki wanajidai hawapendi ccm halafu walienda kufanya nn kama sio sitaki nataka hhehehhe yangoswe muachie ngoswe
Wameenda kusuta uongo na unafiki.Hhehehhehe sasa huku ni unafki wanajidai hawapendi ccm halafu walienda kufanya nn kama sio sitaki nataka hhehehhe yangoswe muachie ngoswe
Si alisema watu wakimzomea atawatia makofi. Vipi huko hajawatia makofi?Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.
Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.
Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.
1. Swali la kwanza kuna mzee kauliza umetuambia kuwa mmefufua reli ya Kigoma nani aliyeiua?
2. Siku 90 ulizotoa kwa watu kuvua magamba hazijaisha?
3. Kila siku mnatangaza kwa Tanzania nzima eti Kigoma mmeibadilisha mbona sisi Kasulu hatuoni?
4. Kuna mtu anasema hatumtaki DC, Umesema ww ndio bosi wa hawa watu tunakuomba uondoke naye?
5. Kulingana na hotuba uliyotoa unaonyesha hamko tayari kutoka madarakani huoni kama nyie ndio mtaleta machafuko ktk nchi hii.
Majibu yanafuata.
Atumie polisi kuzuia zomea zomea. Watu wataogopa vitu vyenye ncha kali.Si alisema watu wakimzomea atawatia makofi. Vipi huko hajawatia makofi?