Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.

Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.

Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.
 
Anasema walimtosa Lowassa kwa sbb ya mchezo mchafu ndani ya Richimond, anasema eti amewaambia Mahakama ahakikishe wanaotumia madaraka vibaya wawajibishwe.
 
ahahaha bado kumshusha jukwaani tu ndo kilichobaki
 
Movement for change imefanya kazi nzuri sana.
Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.

Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.

Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.
 
Siasa za upotoshaji zinadumu pale watu hawana elimu ya uraia.

Kigoma watu walishastuka siku nyingi. Nape angejaribu tu kufanya siasa zenye msingi wa ukweli. Atayaona zaidi.

Vipi hajasema kuhusu kadi ya Dr. Slaa?
 
Du! Ila nimeona kule Nguruka wamepata wateja, maana walienda kutembelea mradi wa Dr. Magufuli pale daraja la Maragalasi. Pengine wanampigia Kampeni huyo jamaa na miradi yake ya barabara.
 
Nape ameamua kushuka jukwaani eti akanywe maji na anamwita mjumbe wa Nec wilaya ya Kasulu na mbunge wa zamani wa jimbo hili kwa tiketi ya CCM ndugu Daniel Nsanzugwanko ili aweke mambo sawa naona anajaribu kuregulate lkn bado na yeye anazomewa pia, huyu jamaa anamwambia Nape ati walimchakachua ubunge na alipoenda Mahakamani wamemchakachua na sasa amepeleka Mahakama ya rufaa hukumu ni tr 6 february, jimbo la huyu jamaa kalichukua mama Buyogela wa NCCR kasulu vijijini.
 
Siasa za upotoshaji zinadumu pale watu hawana elimu ya uraia.

Kigoma watu walishastuka siku nyingi. Nape angejaribu tu kufanya siasa zenye msingi wa ukweli. Atayaona zaidi.

Vipi hajasema kuhusu kadi ya Dr. Slaa?

Alichosema khs Slaa amesema eti alishindwa kuwa mwaminifu Kanisani ataweza kuwa Mwaminifu kwa wananchi?
 
Kasulu hamna Boda Boda? Maana Boda Boda wao hawatanii wala kuzomea. Hawa jamaa wapo One STEP Ahead.

2012_11_Akim_BodaBodaWaiting.jpg
 
Jamani hawa watu wa CCM ni mat....a....a.....hira huyu mbunge analalamika eti wananchi wamsamehe kama kuna vitu hakuvifanya zamani sasa kwa vile yuko nje anayaona matatizo ya wanaKasulu na sasa akirudi atashughulikia vizuri.
 
Nape ameamua kushuka jukwaani eti akanywe maji na anamwita mjumbe wa Nec wilaya ya Kasulu na mbunge wa zamani wa jimbo hili kwa tiketi ya CCM ndugu Daniel Nsanzugwanko ili aweke mambo sawa naona anajaribu kuregulate lkn bado na yeye anazomewa pia, huyu jamaa anamwambia Nape ati walimchakachua ubunge na alipoenda Mahakamani wamemchakachua na sasa amepeleka Mahakama ya rufaa hukumu ni tr 6 february, jimbo la huyu jamaa kalichukua mama Buyogela wa NCCR kasulu vijijini.
Alidhania bado ni wadanganyika!

Nadhani message has been sent and delivered.
 
Kasulu hamna Boda Boda? Maana Boda Boda wao hawatanii wala kuzomea. Hawa jamaa wapo One STEP Ahead.

2012_11_Akim_BodaBodaWaiting.jpg

Leo kaja na gia yake anasema eti wanabodaboda kuanzia leo waibughudhiwe. Amemsimamisha DC hapa anamwambia kama hawezi kazi aseme alete mwingine.
 
Masikini ya Mungu namuonea huruma huyu mkuu wa wilaya kasimamiwa na Nape hlf anaongea anazomewa hadi aibu.
 
Back
Top Bottom