Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Alichosema khs Slaa amesema eti alishindwa kuwa mwaminifu Kanisani ataweza kuwa Mwaminifu kwa wananchi?
Mbona Slaa anatumikia wananchi akiwa mwanasiasa tangu 1995 alipoingia bungeni.

Watu wanajua amewagusa vipi.
 
Wa kusoma mwogope mungu, na rudia kuandika kilicho sahihi.ndiyo huipendi ccm sa kuzusha uongo humu fb ndo kukinyanyua chama chako? Sasa hv tu hamjapata madaraka,je mkiwa madarakani? Hata hvyo umenda kufanya nn ktk mkutano wa ccm na ww huwapendi,kuna watu haya hawana na ww sidhan hata kama uliwahi kuwa mkweli maishani mwako.
 
Napeeee, hapo vipi?

Anarudia msemo wa Mbowe eti kama noma na iwe noma, anasematuwaulize Kenya kilichotokea 2007 ndicho kitakachotutokea 2015, anasema CCM bado iko madarakani sana.
 
Anasema walimtosa Lowassa kwa sbb ya mchezo mchafu ndani ya Richimond, anasema eti amewaambia Mahakama ahakikishe wanaotumia madaraka vibaya wawajibishwe.
hongera Nappe bado hujakata tamaa na Lowassa wako.?
 
Nilikuwa nasimuliwa na rafiki yangu kuwa ogopa mtu aliyesomea Theology kama Dr.Slaa nahisi kuna ukweli
 
Quote of the day, Baada ya kuona anazomewa mkuu wa wilaya ya Kasulu amemwambia Nape eti asishangae hawa watu wa Kasulu wana "matatizo ya problem" Watu wamecheka sana.
 
Attachments

  • Nape.jpg
    Nape.jpg
    29.1 KB · Views: 147
Asafali ili ajitambue,mwana izaya mwana mkosa baba.
 
kazi waliyompa ccm ni ngumu mno, inataka moyo aisee - naona bora u dc.
 
Wa kusoma mwogope mungu, na rudia kuandika kilicho sahihi.ndiyo huipendi ccm sa kuzusha uongo humu fb ndo kukinyanyua chama chako? Sasa hv tu hamjapata madaraka,je mkiwa madarakani? Hata hvyo umenda kufanya nn ktk mkutano wa ccm na ww huwapendi,kuna watu haya hawana na ww sidhan hata kama uliwahi kuwa mkweli maishani mwako.

WE M@@N@E NINI KWANI MIKUTANO YA SIASA INACHAGUA WA KUHUDHURIÆ WE KAMA UNAIPENDA ZZM KIVYAKO. Kwani hata hivyo wewe Nape kuzomewa kuna kuhusu nini. Wana ccm wengine hovyo kabisa na bado mtazomewa sana.
 
Wa kusoma mwogope mungu, na rudia kuandika kilicho sahihi.ndiyo huipendi ccm sa kuzusha uongo humu fb ndo kukinyanyua chama chako? Sasa hv tu hamjapata madaraka,je mkiwa madarakani? Hata hvyo umenda kufanya nn ktk mkutano wa ccm na ww huwapendi,kuna watu haya hawana na ww sidhan hata kama uliwahi kuwa mkweli maishani mwako.
Mkuu umejuaje kilicho sahihi na uongo? Uko Kasulu leo?

CCM waelewe kuwa enzi ya kupigiwa makofi tu imepita. Watu wamepigika na maisha na wanapenda kuona chama tawala kikiwa na nia ya dhati ya kuwatumikia.

Ni ukweli mchungu, lakini watu wa Kasulu nawajua na wako hivyo kama anavyoelezea Wa kusoma.

Huu ni mkutano wa hadhara, na uko wazi kwa wote si kwa wana CCM tu.
 
1. Swali la kwanza kuna mzee kauliza umetuambia kuwa mmefufua reli ya Kigoma nani aliyeiua?

2. Siku 90 ulizotoa kwa watu kuvua magamba hazijaisha?

3. Kila siku mnatangaza kwa Tanzania nzima eti Kigoma mmeibadilisha mbona sisi Kasulu hatuoni?

4. Kuna mtu anasema hatumtaki DC, Umesema ww ndio bosi wa hawa watu tunakuomba uondoke naye?

5. Kulingana na hotuba uliyotoa unaonyesha hamko tayari kutoka madarakani huoni kama nyie ndio mtaleta machafuko ktk nchi hii.
Majibu yanafuata.
 
Back
Top Bottom