Nape nimemshauri sana huyu dogo,,,jitammbua...na utambue mbinu sahihi kwa sasa.nguvu ya chadema mmeitengeneza nyie wenywe.sasa hodi mpaka kwenye ngome zenu kusini,,,mkiweza kurekebisha uchumi hii game mnawin tofauti ya hapo hamna chenu,,,
CCM inaweza kujifananisha na nchi tajiri zinazoheshimu rasilimali na kutopenda starehe?
hebu linganisha huyu waziri mkuu wa nchi tajiri na Pinda wa nchi maskini uone tofauti zilizopo
ukweli uko pale pale CCM wametufikisha tulipo wametuibia vya kutosha wameuza nchi
naona CCM na nape wanahaki ya kuzomewa kabisa
huyu waziri mkuu nchi tajiri na usafiri wa baskeli.
naomba kukiri nimeishi na bado nipo nje ya tanzania sijaona vx mtaani zaidi ya vigari vidogo wala sijawahi ona msafara wowote
mawaziri hata wabunge tunakutana nao kwenye train asbh wakienda kazini. mkuu wa chuo ninachosoma usafiri wake baiskeli
tanzania hata katibu tawala, mkuu wa wilaya,mkoa,mawaziri nk wana tembelea vx za garama kubwa mwananchi wa kawaida
anaishi maisha ya shida, hata wafadhili wanatucheka kwa hali hii.
kama lisinde alitukana nakila mtu alisikia ila ccm wakasema no hakutukana ila alikua anakipamba chama je ni kweli mnategmea leo kuna mtu atkwaambia nape katukana? MNANICHEKESHA