Na mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo. Unajua viongozi wengi wa CCM wanadharau sana wananchi. Wengi wakipanda majukwaani wanaanza kuwashambulia wananchi kuwa wamekunywa viroba. Yaani wao wanataka kila mwananchi awe na mawazo kama yao na chama chao kitu ambacho hakiwezekani. Halafu wanasahau kuwa serikali inategemea viroba kupata kodi na yenyewe ndiyo imevipitisha vinywewe hivyo kama ni kunywa vasi ilianza serikali kwanza. Si ajabu hata gharama wanazotumia katika ziara yao zinatokana na viroba kwa CCM inapewa ruzuku na serikali ambayo ndiyo inayokusanya kodi mbali mbali zikiwemo za viroba hivyo kumdharau mnywa viroba ni kama kutoboa mtumbwi ulioupanda katikati ya bahari. Ni bahati mbaya chama kimempa nafasi mjinga kuwa ndiyo mwenezi wakeKwanini wanazomea tu hawakwenda mbali zaidi?
C.c Tandale One, MwanaDiwani
Kwanini wanazomea tu hawakwenda mbali zaidi?
Anajaribu kuanza kufunga magoli ya mkono!
Mwaka huu wanasiasa wote matapeli na wasaliti watazomewa. Wazomewe tu,hakuna namna nyingine. Chichidodo!
Huyu mtu siku ccm itaondoka madarakani, ataishi maisha ya aibu na fedheha siku zote
Ukweli Mkuu mtu wa aina hiyo ni wazi dharau zilizochanganyika na jazba ndizo zinamsukuma kuropoka, vinginevyo alitakiwa akubali kuwa kwenye ule mkutano wapo pia wapenzi wa UKAWA na ndio ilikuwa nafasi yake kueleza sera ili awavute karibu, mwanasiasa bora ndicho anachofanya sio Nape na kupayuka.
Huku ni kudanganyana fisadi mnaemwita ni lowassa na hadi dakika hii anakusanya watu kila kona sasa ni vema useme utamzomea na siyo mtamzomea, maana mwenzako kajipanga na sasa elewa hajawa mgombea rasmi akipitishwa akapewa na ulinzi imara kamwe hutasikia unachokiwaza! Nilitarajia wakati ni sasa mngedhihirisha hauziki na hafai lakini anaonekana ndiye lulu kuliko yeyote ndani ya ccm. Tuache ubishi wa hisia zenu na kina nape jamani
membe atajuta kumwachia huyo chizi jimbo
Hata mkibisha ccm ni Chama dume
Jana niliangalia TBCiii (kwa bahati mbaya) taarifa ya usiku, hakika hawakuonesha kabisa kipande hicho:becky:
This young man is like a mad dog and loves to bite anything it fancies and in the process portraying a bad image to the the mass. In my opinion in this era the party does not need his type of leadership i think he better join labor union where i think he fits there.