Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

This young man is like a mad dog and loves to bite anything it fancies and in the process portraying a bad image to the the mass. In my opinion in this era the party does not need his type of leadership i think he better join labor union where i think he fits there.
 
chaikavu

Hii source ya habari ina ugomvi na serikali iko bias inashambulia upande inaouchukia. Hata siku moja usiamini habari zao kichwakichwa.

ndugu yangu bila shaka wewe ni mtu wa serikali. na nina imani akina mwana diwani ambaye ndiye aliyezomewa anaweza kukanusha hapa jukwaani au wewe unaweza kukanusha
 
Kiukweli nape huwa anaropoka sana,sijui hata ni nani huwa anamshauri huyu dogo,ila kikubwa anamuaibisha sana mzee kinana
 
Wangemshusha jukwaani na kugawana!
 
Inabidi mzee Kinana akiratibu safari zake Nape asinge tela wagawane mikoa kila mtu azurure peke yake ccm waone jinsi wanavyopoteza hela kumlipa huyu nape mshahara, huo mkutano angehudhuria yeye na kamati tendaji ya hilo eneo hata wananchi wanachama wa ccm wasingeenda kumsikiliza.
 
Hii zomea zomea itazidi maradufu ikiwa ccm watasimamaisha mgombea fisadi au galasa, vile vile zomea zomea hii itapungua ikiwa ccm itasimamisha mgombea anayekubalika kwa wananchi, anayeakisi kile wananchi wanapenda, alietayari kupambana na kile wanachukia

Akipatikana mgombea safi, akauzwa na watu safi, basi atasaidia sana kurudisha imani ya watanzania kwa ccm, na atasaidia sana kuuza wagombea wa udiwani na ubunge wa ccm. Otherwise, hali ni mbaya kwa ccm kuekea October

mkuu umesahau ccm hakuna msafi ,hakuna kiongozi bora, wote ni wale wale ,viraka na wabinafsi ndio maana kila mmoja anataka urais hii ni kudhiirisha kuwa ni wabinafsi . hii ni picha taswira halisi kuwa wamechokwa na ni uvumilivu wa kisiasa kuwaacha hadi muda huu.
 
ningekuwa eneo la tukio tungekuwa tunaongelea habari nyingine kwa sasa kumzomea hakutoshi wangempiga hata mawe
 
Ndio matokeo ya kujifariji kuwa bado ni chama dume huku wakitaka kulazimisha wananchi ambao wameshajitambua wachukie vyama vya upinzani has CDM. Hizo ndio salaamas
 
Huku ni kudanganyana fisadi mnaemwita ni lowassa na hadi dakika hii anakusanya watu kila kona sasa ni vema useme utamzomea na siyo mtamzomea, maana mwenzako kajipanga na sasa elewa hajawa mgombea rasmi akipitishwa akapewa na ulinzi imara kamwe hutasikia unachokiwaza! Nilitarajia wakati ni sasa mngedhihirisha hauziki na hafai lakini anaonekana ndiye lulu kuliko yeyote ndani ya ccm. Tuache ubishi wa hisia zenu na kina nape jamani

Mkuu ni kweli kabisa na akili zako timamu unaongea haya!!
kweli kabisa na akili zako timamu unampigia debe fisadi
kweli kabisa na akili zako timamu unampigia debe mtu anaetumia vitisho chama kimpitishe bila kuangalia vigezo 13
Kweli kabisa na akili zako timamu unampigia debe mtu anaetaka chama kikiuke utaratibu eti majina yote yaende NEC
Kweli kabisa na akili zako timamu unamgia debe mtu aliyetaka kumpindua mwenyekiti wake
Kweli kabisa na akili zako timamu unampigia debe mtu anayemwaga hela kuvuta watu eti kudhihirisha anapendwa
Kweli kabisa na akili zako timamu unapigia debe mtu mgonjwa aende ikulu, hayo majukumu atayatimizaje

You can't be serious mkuu, unless you are joking!!
 
vikundi vya uzomeaji viimarishwe ukawa hukaa nyuma ya mstari jezi za kijani unapoishia sasa kina zzk na ccm hudhani ni wana ccm wenzao wakianza tu roporopo wanazomewa

Chama hakiwezi kujiimarisha kwa siasa za kuzomea badala ya kutumia hoja, hivyo Chadema mnajichimbia kaburi ambalo mtafukiwa kwa dhambi ya siasa zenu za kitoto na kijinga.
 
Back
Top Bottom