ccm imekalia kuti kavu.
MAGUFULI
isadie ccm maana inasikitisha name kuwafanya wanaccm kuondokana name unyonge,
ccm imekalia kuti kavu.
Nadhani hapo alimaanisha kwa nini wasingempa kichapo.ufafanuzi kwenye red hapo
Yaah...... nadhani laana ya kufunga magoli kwa mkono, itakuwa ishaanza kumpata huyo kada wa Sisiemu!Anajaribu kuanza kufunga magoli ya mkono!
Nadhani hapo alimaanisha kwa nini wasingempa kichapo.
Mtu anayedharau maamuzi ya wananchi na kuwaita wanywa viroba ni kuwazomea tu mpaka anaacha kuongea pumba
Anajaribu kuanza kufunga magoli ya mkono!
hii zomea zomea itazidi maradufu ikiwa ccm watasimamaisha mgombea fisadi au galasa, vile vile zomea zomea hii itapungua ikiwa ccm itasimamisha mgombea anayekubalika kwa wananchi, anayeakisi kile wananchi wanapenda, alietayari kupambana na kile wanachukia
akipatikana mgombea safi, akauzwa na watu safi, basi atasaidia sana kurudisha imani ya watanzania kwa ccm, na atasaidia sana kuuza wagombea wa udiwani na ubunge wa ccm. Otherwise, hali ni mbaya kwa ccm kuekea october