Nape awapiga vijembe CHADEMA

ANC ni chama cha siasa nchini Afrika ya Kusini na sio chama cha wafanyabaishara. Ni kwa nini CCM iamue kualika wafanyabiashara 'maarafu' ndani ya chama cha siasa na sio watu wengine? Kwanini kwa mfano wasingeialika kamati kuu ya ANC au hata viongozi wa chama wa majimbo (Provinces)? Why ni wafanyabiashara?

Pili, ni wafanyabiashara 'maarafu' kwa lipi? Maarafu kwa kununua Tanzaniate na kusema inatoka kwa Madiba? Maarufu kwa kuwekeza kwenye Net Group Solution? Umaarufu wao hao wafanyabiashara unatokana na nini?

Pengine Nape analeta mzaha kwenye hili lakini he may live to regret it. Serikali ya ccm in kashfa lundo za kuuza nchi kwa 'wafanayabiashara wa Afrika ya kusini'.

Wenzao CHADEMA wameamua kuomba michango ya watanzania bila kujali ni mama ntilie au msukuma mkokotini. Lakini CCM wanaona dawa ni kuita wafanyabiashara toka Afrika kusini! Kuna kipande gani cha nchi hawajakiuza sasa wanataka kukipiga bei?

Mipango ile ile ya wizi kupitia chama cha majizi Tanzania
 
Chama cha siasa ANC huwa kinafanyabisha na wananchi kuridhia hilo huko Africa Kusini wakawa waridhia hilo kweli? Kwa hivyo mnatuambia kwamba huko ndiko CCM kilipopata uzoefu wa UFISADI unaotudhalilisha kimaisha hapa nchini?
Bora leo mmetoa hiyo wenyewe hadharani hapa jamvini

Wakati "wao" wakitembeza kapu kuombaomba.,sisi tunatazama fursa tulizonazo na kuzitumia..,Daima tunaonyesha njia.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kupokea Ujumbe wa Wafanyabiashara Maarufu kutoka Chama rafiki cha ANC (African National Congress) cha Afrika ya Kusini. Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 25/03/2012 na kurejea Afrika Kusini tarehe 29/03/2012....
By: Nape Moses Nnauye (Face Book)
 
[h=6]Wakati "wao" wakitembeza kapu kuombaomba.,sisi tunatazama fursa tulizonazo na kuzitumia..,Daima tunaonyesha njia.[/h]TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Mwisho wa siku wafanyabiashara watakuja kuwekeza nchini kwa bei ya nyanya.
Wana Ccm na Watanzania wenzangu kwa ujumla extenal aid (misaada ya nje) sio mizuri kabisa kwani mwisho wa cku tutailipa kwa gharama kubwa zaidi.
My bro Nape, sio fahari kupokea misaada ya nje kwa sababu gharama ya kuilipa ni kubwa mno.
 
ANC ni chama cha siasa nchini Afrika ya Kusini na sio chama cha wafanyabaishara. Ni kwa nini CCM iamue kualika wafanyabiashara 'maarafu' ndani ya chama cha siasa na sio watu wengine? Kwanini kwa mfano wasingeialika kamati kuu ya ANC au hata viongozi wa chama wa majimbo (Provinces)? Why ni wafanyabiashara?

Pili, ni wafanyabiashara 'maarafu' kwa lipi? Maarafu kwa kununua Tanzaniate na kusema inatoka kwa Madiba? Maarufu kwa kuwekeza kwenye Net Group Solution? Umaarufu wao hao wafanyabiashara unatokana na nini?

Pengine Nape analeta mzaha kwenye hili lakini he may live to regret it. Serikali ya ccm in kashfa lundo za kuuza nchi kwa 'wafanayabiashara wa Afrika ya kusini'.

Wenzao CHADEMA wameamua kuomba michango ya watanzania bila kujali ni mama ntilie au msukuma mkokotini. Lakini CCM wanaona dawa ni kuita wafanyabiashara toka Afrika kusini! Kuna kipande gani cha nchi hawajakiuza sasa wanataka kukipiga bei?

Na ndio maana chama chao cha sisiemu wamewanya`anya wakulima wafanyakazi,wavuvi ,wakweya mnazi wamewapa wahindi na wasomali, halafu anajiuliza kwa nini vijana wanzangu wananichukia, wanakuchukia kwa usenge wako wakukumbatia magamba.
 
Yaap, kama lile jengo refu la UVCCM pale Morogoro Rd/Lumumba ambapo UVCCM itaachiwa miaka kadhaa ijayo baada ya jengo kuchakaa

miaka 100 ijayo. Hii nchi kuna vichwa maji wengi sana. Sishangai kwa nini wanasheria wetu wanakazana kuwatetea wazungu wanapoingia mikataba isiyo na maana
 
[h=6]Wakati "wao" wakitembeza kapu kuombaomba.,sisi tunatazama fursa tulizonazo na kuzitumia..,Daima tunaonyesha njia.[/h]TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kupokea Ujumbe wa Wafanyabiashara Maarufu kutoka Chama rafiki cha ANC (African National Congress) cha Afrika ya Kusini. Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 25/03/2012 na kurejea Afrika Kusini tarehe 29/03/2012....
By: Nape Moses Nnauye (Face Book)

Nape achakudanganya wananchi ujio wa hao wafanyabiashara hauna uhusiano wowote na ccm na watapokelewa na wafanyabiashara wa kitanzania kupitia chama cha wafanyabiashara na mikutano yao itafanyika double tree by hilton hotel.kama wataonana na ccm ni by the way coz wamekuja kibiashara na wala siyo kisiasa.
 
Nyie endeleeni tu na michango badala yakuweka miradi endelevu ya kukiendesha chama. Mnategemea mtawachangisha watanzania mpaka lini ? ibueni miradi !
Kikiwa ni chama pekee CCM kwa kutumia kodi za wananchi na michango ya lazima kwa chama hicho ilianzisha miradi ifuatayo SUKITA, SUWATA, MRADI WA MABASI YA WANAFUNZI DSM (UVT) N.K. Miradi hii iko wapi? Au ndio mliwapatia akina Suresh Patel?
 
Ukiona ccm inasema ni wafanyabiashara wa chama cha ANC basi utambue kwamba inajaribu kuwaingiza chaka watanzania. Muda si mrefu utawasikia wafanyabiashara hao wamekabidhiwa mashirika ya umma na kujivunia mipesa, ama la utasikia wamemegewa hekari kadhaa za ardhi kwa ajili ya biashara na kumilikishwa kwa miaka 99!!
ccm hawana mradi wowote mali yao ni ya watanzania wote tumechangishwa sana enzi za chama kimoja leo mejigawia mnasema ni mali yenu !!!!
 
ANC ya mzee Madiba ile ina macho ya kuona mbali,hao wanaokaribishwa sio wajumbe wa ANC bali ni mafisadi wa africa kusini ambao wameahidiwa eneo la ardhi lenye madini.
 
Kama haya ni ya kweli,kuwa makini sana Nape.Jamaa waje trh 25 na kuondoka terehe 29 kuja kusalimia tu CCM.
Kuna kitu hapo,ngoja tusubiri.Majembe yetu yapo hapo CCM watatujuza tu we subiri.Dr Slaa popote ulipo,washtue washkaji wetu wanao kupaga nyeti za CCM wafuatilie hao jamaa kutoka ANC kwa Madiba wanataka nini...
 
Yplus hizi ni propaganda za nape ujio wa hao wafanyabiashara unaratibiwa na chamber of commerce na watakutana na wafanyabishara wa kitanzani pale double tree hotel.wamekuja kibiashara na siyo kichama.kama wataenda lumumba ni by the way.
 
Wakuu nimesoma hiyo post kwenye wall ya Nape ya FB. Nimemdharau zaidi ya nilivyokuwa najifikiria. Sijawahi kumvunjia heshima maana namfaham vizuri ila leo amejidhalilisha sana na hiyo post.

it made him look too low. na siasa za namna hii wala haziwafai vijana ambao tunaamini ndo watalipeleka taifa letu mbele.

Ushauri: Nape njoo uombe msamaha kwa vijana wenzio hapa jukwaani.
 
huna akili kabisa,kwani kuna jengo lolote la CCM ambalo lilijengwa kwa nguvu ya chama?kwa taarifa yako CCM hawana hata jengo moja la kwao bali kwa sasa wamepora majengo ya umma kuanzia makao makuu hadi kijijini kwetu ambako toka ofisi za serikali ya kijiji zigeuzwe kuwa za CCM tu bila kujali zilijengwa kwa nguvu ya kukamata kuku na mbuzi za wananchi kwa lazima miaka ya 80,hivi sasa wameshindwa hata kujenga choo tu cha ofisi hizo.POTELEA MBALI GAMBA WEWE
 
Back
Top Bottom