Nape awapasua vichwa CHADEMA

This is like childish!
Hivi Nape si yuko hatua za mwisho kabisa za kuimega ccm mapande kama ma4?
Anahusika vp na cdm tena?...kuna kiongozi wa cdm anayehangaika na nape?
 
Labda hawapasui kichwa CDM kwa kuwa yeye ndiyo anayecheza ngoma ya CDM. Kila kitu anacopy toka CDM na kukifanyia implemention. Ona operetion ya Vua Gamba, Vua Gwandwa na Vaa Uzalendo ni copy toka M4C
Operation hiyo ya nape ni maneno tupu haipo. Jamaa kazoea tu kubwabwaja.
 

Labda unapasua chako zaidi maumivu huanza polepole.....
 
Anawapasua magamba wenzake,maana akili yake haina tofauti na matahaira{mandondocha}ya kihindi,ambayo yanapewa kila kitu lakini hayajielewi lolote,yapo kwa ajili ya kutajirisha wengine yakitembea yanakuwa mazuzuzuzu
 
nape si lolote si chochote haiumizi kichwa chadema na kamwe hatoiumiza... Kama amewatuma mumwambie kashindwa... Na yeye ndo anumiaa kichwa na si punde atapasuka kichwa a kwani anacheza na moto
 
hayo ni maigizo.Ni kama kwa ilivyokuwa diamond ccm kutuletea watoto. ndivyo ilivyo kwa Nape kubebwa kwa dhamira ya wananchi. it will never happen till the end the word
 
anawapasua au anapasuliwa yeye. hana lolote yule.
 

Mkira, asante kwa kuliona hilo,maana akili ya kawaida tu ingemfanya aelewe nini Sikonge alikuwa anamaanisha,nina uhakika akirudia tena kuiangalia hiyo picha na ujumbe wake ataweza kuconnect dots.
 

Ilibidi nicheke nilipomsoma RC, sio makosa yake pengine lugha ya picha ambayo umekuwa ukiitumia mara nyingi kuwakilisha ujumbe kwake inampa taabu kidogo.

Nimekupata mkuu, mengine tutaongea kupitia PM
 
Yani Nape ndo aumize kichwa CDM??! Haya ni mawazo ya delilah, kwan ss peoples hapa kwetu ni kazi tu mwendo mdundo na hatuna fear na mramba nyayo kama Nape koz anajulikana kuwa yy ni vuvuzela.
 
 
Nimefurahi kusikia kuwa CCM inawaumiza kichwa CDM, Nape ni CCM
 
teh,teh,teh hapa nape si anagawa pipi?na anaowahutubia umewaona?angalia hao watoto wadogo wanavyogombea pipi hadi wanataka wapigane halafu nape anacheka.Sikonge,umenifurahisha sana hujamkawiza huyu mleta mada dhaifu kumjibu kwa kutumia picha acha ahangaike nayo.
 
Ni kweli kabisa maneno yako......
ukweli upi huo mkuu. Maige,Kisumo, sijui kina nani nao ni CHADEMA think big mkuu

anaumiza magamba wenzake kichwa au CDM. Hivi Kisumo, Maige na wengine wanaokosoa siasa za Nepi nao Ni CDM! kaka wa wap wewe!
 

Huyu Nape ni mbu mdogo sana kwa CDM. Sana sana nafikiri Maige na wale mafisadi Nape anaowapasua waziwazi ndo wanawatuma hapa kuja kupoteza mwelekeo. After all CDM inajipanga ki Macro zaidi kuliko ki Micro!!!!
 
Mwanamume wa Kweli hutambulika wakati kuna challenge.... Nape is good... kwa kuwa chama chake kiko katika wakati mgumu kama he is stable.... go Nape go.
 
Ni kweli kabisa maneno yako......


Hivi ni kweli au macho yangu?. Naona kama wote ni watoto wadogo waliohudhuria mkutano huu. Ndio zile mbinu za kuwaamuru waalimu wawarudishe watoto majumbani alafu wahudhurie mkutano wa ccm na wanafunzi wao. Haina mvuto wowote!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…