Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
kama huna hoja ya msingi nyamaza,sio kukurupuka sasa hiyo picha hapo juu inauhusiano gani na mada yako?au ndio unatuonesha mikutano ya ccm na wanafunzi wa shule za msingi.jipange ndio uje upya.
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Labda naye ni muda wake wa kuonekana ktk magazeti na hizi social media, lakini itapita! Sidhani kama anamwumiza kichwa mtu yeyote.Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM. Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili. Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Nape huyu huyu au mwingine?
Umeelwa kweli ujumbe wa picha hiyo? Nina mashaka kama umemuelewa Sikonge vizuri.