NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

Mmhh nape hii habari ya chachamada kama kaipika hili kuja-legitimate zoezi la kubeba watu kwa malori.
 
Hahahahaaaaa!!!! mna kazi kubwa sana YA Kudanganya na kueneza uongo usio na kichwa wala miguu... AIBU KUBWA SANA SANA!!








CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!


Nape M. Nnauye

Chanzo: Moja ya blogu za ccm:

[/I
 
We acha kauli zako sie tuana yahifadhi tutakufunga kweli safari hii,tena jela kazi ngumu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Take it from me! All traffic policemen in Dar will turn a blind eye to lorries loaded with ccm maize bags.

Your warning would apply to CDM if they were to ferry their members in lorries!
 
Tanzania's traffic law prohibits the use of lorries to ferry passengers. CCM supporters using those lorries solicited by Nape they do so at their own risk

Mnatabu kubwa sana ya kujaribu kudanganya na kupotosha umma. Endeleeni lakini leo cha moto mtakiona.Mmebip leo tuna wapigia, msisite kupokea.
 
Kuna kipindi serikali ilipiga marufuku malori kupakia raia ila leo imesemekana wanachama baadhi watatumia usafiri wa malori, je hizi sheria za tanzania ni kwa ajili ya taifa au kwa ajili ya manufaa ya watu fulani.
 
Mnatabu kubwa sana ya kujaribu kudanganya na kupotosha umma. Endeleeni lakini leo cha moto mtakiona.Mmebip leo tuna wapigia, msisite kupokea.

Hahahaaa safari hii unakazi umekuwa mkia CDM wanaanzisha wewe unafuata. Aibu, hata watoto wadogo wanajua umefulia. huna jipya lolote. unafukuza kivuli chako
 
Mie nashangaa pia aisee,muda mwingine hata kwenye Misiba unakuta watu wamejazana kwenye lori, wajeda,wafungwa,Polisi wenyewe unakuta siku nyingine wamejazana kwenye Lorry sasa hapo sheria ni ya watu wa namna gani tuuu?
 
Hahahahaaaaa!!!! mna kazi kubwa sana YA Kudanganya na kueneza uongo usio na kichwa wala miguu... AIBU KUBWA SANA SANA!!










[/I


Wewe ulikuwa unategemea nini kutoka chama kinachoongozwa na wahuni na waongo wakubwa kama Dr Slaa?
 
Hivi CHACHAMUDA nacho ni chama cha siasa mpaka Nepi akiogope na kukitolea tamko?
 
Hahahahaaaaa!!!! mna kazi kubwa sana YA Kudanganya na kueneza uongo usio na kichwa wala miguu... AIBU KUBWA SANA SANA!!










[/I



avatar11941_3.gif


Nape, leo pale Chadema Square uteendelea kutukana wananchi wa Tanzania kwamba wanaohama toka CCM kwenda vyama vingine ni vinyago?
 
Ngojeni Slaa akimaliza kuzomewa Lindi atakuja kufanya maandamano makubwa Arusha.

Kwahiyo huko Lindi na Mtwara anazomewa? Hahaaha kweli mmeishiwa, sasa mmekuwa wapinzani rasmi! Kila tufanyacho lazima muige!
 
nimeona ktk gazeti kuwa ccm hawatajibu mapigo ya chadema
nashangaa nape ana kuwa kigeugeu geuka
tuone kama trfiki watayaachia malori yabebe watu kwa vile ni wana CCM
ndo tujue kama ccm iko juu ya sheria za nchi
kwa mlio dar nendeni mkapate sera za kukiuwa zaidi chama chao, maji na fulana
 
Chonde chonde hayo malori wananchi wenzangu tunawaitaji 2015, kwenda mtaenda lakini ushabiki wenu wa mafisadi wakati wa kurudi utawaponza, siwatabilii ajari bali chukua taadhari!!!!!!!
 
Back
Top Bottom