NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

Mnatabu kubwa sana ya kujaribu kudanganya na kupotosha umma. Endeleeni lakini leo cha moto mtakiona.Mmebip leo tuna wapigia, msisite kupokea.
Nape Msijifiche nyuma ya migongo ya wasanii kwa mtu mwenye akili timamu anajua ya kua watu watakua jangwani si kuskiliza porojo na usanii wa CCM bali wanakuja kwenyeshow ya kina Diamond.Kwa nafasi iliyonayo CCM ambapo vyombo vyote viko chini yake tulitegemea badala ya porojo na usanii mtafanya kazi kwa vitendo.NI CCM ILIYOTUFIKISHA HAPA TULIPO WANA NINI CHA KUTUELEZA KATIKA MKUTANO HUO.KAMA MGELIKUA WAUNGWANA NA WENYE BUSARA NGELITUMIA MKUTANO HUO KUOMBA RADHI NA KUWASHUKURU CHADEMA KWA JUHUDI ZAO ZA KUWAAMSHA WANANCHI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Wangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.



mi sijaelewa hapo juu....baba wa taifa alijiondoa ccm?

Usicheze na vuvuzela mkuu,
kupayuka ndio tabia yake.
 
Mheshimiwa kumbe bado uko jamvini, si ulikna ID yako au sio wewe? sasa haya malori na coster ni za nini? hahahaa thithiem bhana
Mnatabu kubwa sana ya kujaribu kudanganya na kupotosha umma. Endeleeni lakini leo cha moto mtakiona.Mmebip leo tuna wapigia, msisite kupokea.
 
Mnatabu kubwa sana ya kujaribu kudanganya na kupotosha umma. Endeleeni lakini leo cha moto mtakiona.Mmebip leo tuna wapigia, msisite kupokea.

Nape tukumbushe bwana raza alisema ulipata kura ngapi?
 
sasa nape anawaonya chadema wakati wenye issues ni daladala??

since when chadema ikawa na daladala??

The boy is insane.... he is ruining all his chances of having harmonious life in the future, he is burning way too many bridges
 
ushahidi ni huu hapa nimecopy toka kwenye tangazo lako

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,
 
Kijana Nape, unatumika na chama cha mafisadi mpaka umechakaa, kwa sasa unaonekana kakijeba fulani hivi, ukichanganya na huo mkorogo ndiyo basi tena. Shituka endelea na CCJ yako, huko uliko ni mvua za masika muda si mrefu zitakoma.
 
tunakoenda hii m4c itamfanya nape arukwe na akili,viashiria vyote viko wazi

ni kweli kabisa

hebu imagine dereva wa daladala na konda wake wameamua something, yeye anawajibu chadema... in short anakubali kwamba chadema ni watu na movement na sio chama tena

the boy is suffering too much, he needs help
 
Kwanza una matatizo ya mwandiko na herufi pia next time ukiandika kaa utulie
chama cha mapinduzi taarifa kwa vyombo vya hahari:
Tarehe 9/6/2012:

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale jangwani,

napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi chachamuda waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

Kimara, ukonga, kigamboni,mbagala,tegeta, na kwingneko,

chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

Ccm ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

twangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja segerea

mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!


Nape m. Nnauye

chanzo: Moja ya blogu za ccm:
 
Nape kumbuka ya kua kupewa nafasi uliyonayo ilikua ni adhabu ya kukukomoa kwani CCM walielewa na bado wanaelewa ya kua Kukinusuru chama CCM haiwezekani.Wakati unapiga porojo na ukasuku kujaribu kikinusuru wao wanachukua vyao mapema ukija kuzinduka baada ya CCM kufa muda si mrefu watakugeuka nakukutangazia ya kua wewe ndio uliyekiua chama hata Mh.Sitta aliadhibiwa alipopelekwa Zanzibar katika mchakato wa mwanzo kuhusu katiba yaliyomkuta huko nategemea unayafahamu.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kuwandalia usafir wanachama wetu c jambo baya jamani lakini kwani tunaruhusiwa kupanda malori? Au hii ni test kwa jeshi la polisi kutoka kwa hiki chama chetu kilichoshikilia dola? Au ndo tunataka kuwaonesha hao jamaa wa vyama vingine kuwa dola ni yetu?
 
[h=2]
icon1.png
ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
 
By JamiiForums:eek:n twitter
Magufuli pia yupo, ataeleza mikakati na hatua zinazoendelea katika Wizara yake kuboresha miundombinu (Jangwani Leo)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom