NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

[h=2]
icon1.png
ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​

Hilo linaukweli wowote mkuu? Mbona hatari sana?
 
Mwakyembe,Wasira,Tibaijuka na wengine wengi wapo
TBCccm wanaongesha mojakwamoja! Waliojitokeza wengi ni wazee hasa masiki wasiojua a wala b, vijana ni wakuhesabu tu
 
siamini kama hili ni tamko toka kwa chama cha magamba! yaani wameishiwa cha kusema kwa kiwango hiki? wanatapatapa baada ya kuripotiwa na tanzania daima kuwa wameandaa usafiri na posho kwa wanachama ili kujaza uwanja.loh! aibu tupu!
hata kama chachamuda kimegoma kuwabeba magamba, hii ni kutokana ha hofu ya kuwafisadi (kuwaibia) kipato chao kidogo wanachokipata. si unajua tena mafisadi!
 
siamini kama hili ni tamko toka kwa chama cha magamba! yaani wameishiwa cha kusema kwa kiwango hiki? wanatapatapa baada ya kuripotiwa na tanzania daima kuwa wameandaa usafiri na posho kwa wanachama ili kujaza uwanja.loh! aibu tupu!
hata kama chachamuda kimegoma kuwabeba magamba, hii ni kutokana ha hofu ya kuwafisadi (kuwaibia) kipato chao kidogo wanachokipata. si unajua tena mafisadi!

Na yametimia hakuna cha siri zaidi ya mawaziri kwenda kutoa ahadi feki mpya tofauti na zileee za 2010
 
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:Tarehe 9/6/2012:Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchiBaada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari: kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja SegereaMwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!Nape M. Nnauye Chanzo: Moja ya blogu za ccm:
hizi ni porojo.
 
Wangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.mi sijaelewa hapo juu....baba wa taifa alijiondoa ccm?
@Edson umeniwahi kidogo manake mie pia nilitaka kuuliza kwani baba wa Taifa alikuwa sio mwana ccm?
 
ya wezekana kumbe ilikuwa mpango wa ccm kutoa tangazo la wenye magari kupiga marufuku kupanda magari yao ili mseme tulilazimika kukodi magari kwa sababu wenye magari wamekataa tusipande magari yao. Imekua kawaida kukodi watu waje kwenye mikutano yenu, watu wamechoka na ccm hawaitaiki, na hakuna atakae kupeleka jela kwa ccm kushindwa coz ccm kushindwa ni dhahili labda ununue tena kura na utumie dola kulazimisha ushindi. na hata Gadaff alisema hakuna wa kumtoa yuko wapi? Nape usishindane na Umma na nchi hii si yako ni ya watanzania walioichoka ccm na serikali yake.
 
Mkuu kuandaa usafili ni kawaida sana katika mikutano, moja ya benefit ni time management maana wahusika wanafika kwa wakati! pili mkuu wangu, tishio la makondakta lazima lichukuliwe kwa tahadhari, kwa hiyo haiwezekani chama kikategemea daladala ambazo zimeazimia kugoma. Mkuu wangu huoni kama kuna sababu ya msingi ya kutafuta usafili mbadala hapo?

Kwanini CHADEMA hawakuwa na Tatizo hilo la USAFIRI? na Wao SIO CHAMA kinachotawala NCHI?
 
ubwabwa, magari, fuluna, kofia na hela haziwezi kukuondoa kwenye umaskini bali ni wewe kujua hawa wanao kuhonga wanajinufaishaje kupitia raslimali za taifa na tufanye nini ilikuwang'oa 2015 nje yapo tutalia lia bila mwisho na kiama ndio hicho umaskini maisha hayashikiki kila unapogusa ni pagumu si mfanyakzi wala mkulima hali za maisha kila kukicha afadhali kwa jana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom