Nape aunguruma Njombe....

Nape aunguruma Njombe....

Hii sio picha ya Njombe, acha kuwadanganya watu. Mtapata tabu sana kudanganya watu kwani UONGO HAUDUMU!!

Ni uwenda wazimu na usanii kwa CCM kujibu hoja za CHADEMA kwa mikutano katika majukwaa.CCM ndiyo iliyopo madaraka inamiliki vyombo vyote vya dola n.k.Kupanda majukwaani na kuiba nyimbo za kupiga vita rushwa,ufisadi ,uwajibikaji ni kuwakebehi wananchi.Nani anaewazuaia kwachukulia hatua wahusika?
 
Hongera sana Nape kwa kuwapa wakati mgumu wanaodhani CDM pekee ndio wenye haki ya kufanya mikutano na wananchi.Kwa hali ilivyo wana CDM wengi wanajidanganya sana wakiona watu wamenda kuwasikiliza utumbo wao na kuzani wameisha shinda uchaguzi.Wasubili wataona 2015 jinsi majimbo yote muhimu yatakavyorudi CCM na Ushindi wa Kishindo katika kila nafasi CCM iliyoweka mgombea.
 
CDM watasubili sana kwani CCM ni chama chenye dira,malengo mazuri na nia ya kuisaidia Tanzania na watanzania wote bila kuwagawa na mambo ya ukanda.Kwa sisi waelewa ukifanya mahesabu ya kawaida kabisa utapata majibu kuwa CCM iko juu sana ktk sehemu zote za nchi yetu Tanzania na ina wanachama na wakereketwa wasiyoyumba kwa kufuata upepo.Hakuna aliyewahi kuwa na Nguvu kutika upinzani kama Mrema lakini aliishia wapi?Nawapa pole sana wana CDM kwani watapata ugonjwa wa moyo mwaka 2015.CCM JANA-LEO-NA KESHO.
 
Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali katika nchi yetu ambazo zimeleta tija kwa maendeleo ya taifa.

Katika mkutano huo mh: Nnauye amewakemea watu wanaobeza jitihada za serikali katika kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi.

Hii ni taarifa kwa ufupi kwa wale ambao hawakuwepo ktk mkutano huo.

Tangu mwaka 1961 wamekua wakiunguruma, leo hii bado wanaunguruma wanaungurumia nini?. Na wakiunguruma nani anaogopa?
 
Hongera sana Nape kwa kuwapa wakati mgumu wanaodhani CDM pekee ndio wenye haki ya kufanya mikutano na wananchi.Kwa hali ilivyo wana CDM wengi wanajidanganya sana wakiona watu wamenda kuwasikiliza utumbo wao na kuzani wameisha shinda uchaguzi.Wasubili wataona 2015 jinsi majimbo yote muhimu yatakavyorudi CCM na Ushindi wa Kishindo katika kila nafasi CCM iliyoweka mgombea.

Iko wazi kabisa kwamba Nyani anapokufa yeye huwa hajui ila wanaomuona hujua yanayomsibu na mwisho wake.
 
CDM watasubili sana kwani CCM ni chama chenye dira,malengo mazuri na nia ya kuisaidia Tanzania na watanzania wote bila kuwagawa na mambo ya ukanda.Kwa sisi waelewa ukifanya mahesabu ya kawaida kabisa utapata majibu kuwa CCM iko juu sana ktk sehemu zote za nchi yetu Tanzania na ina wanachama na wakereketwa wasiyoyumba kwa kufuata upepo.Hakuna aliyewahi kuwa na Nguvu kutika upinzani kama Mrema lakini aliishia wapi?Nawapa pole sana wana CDM kwani watapata ugonjwa wa moyo mwaka 2015.CCM JANA-LEO-NA KESHO.

Mnawapa shida sana wananchi!!!, wala sio CDM na ndo akili zenu zilivo badala ya kufanya kazi ili wananchi wawakubali nyie mnafanya mambo CDM wakasirike au kuwapa CDM ugonjwa wa ROHONI. Nansens!!!!
 
Unasifia TUME?jee umewaambia wananchi zimetumia gharama kiasi gani?na mmetekeleza ushauri wa tume anza na jaji kisanga
 
Hii sio picha ya Njombe, acha kuwadanganya watu. Mtapata tabu sana kudanganya watu kwani UONGO HAUDUMU!!

Nape ni maendeleo gani chama chako kimeyafanya kulingana na lasirimali tulizonazo?
Acha kudanganya watu,chama chenyewe hakina mwelekeo mmejaa wachumia matumbo tupu,
hakuna maendeleo yoyote mlioyafanya zaidi ya kuhujumu mali za umma.
 
Hongera sana Nape kwa kuwapa wakati mgumu wanaodhani CDM pekee ndio wenye haki ya kufanya mikutano na wananchi.Kwa hali ilivyo wana CDM wengi wanajidanganya sana wakiona watu wamenda kuwasikiliza utumbo wao na kuzani wameisha shinda uchaguzi.Wasubili wataona 2015 jinsi majimbo yote muhimu yatakavyorudi CCM na Ushindi wa Kishindo katika kila nafasi CCM iliyoweka mgombea.

Kumbe CHADEMA ilichukua majimbo muhimu?
 
Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali katika nchi yetu ambazo zimeleta tija kwa maendeleo ya taifa.

Katika mkutano huo mh: Nnauye amewakemea watu wanaobeza jitihada za serikali katika kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi.

Hii ni taarifa kwa ufupi kwa wale ambao hawakuwepo ktk mkutano huo.

Mtoa taarifa tuambie hao mamia kwa maelfu walibebwa na malori au????
 
CDM watasubili sana kwani CCM ni chama chenye dira,malengo mazuri na nia ya kuisaidia Tanzania na watanzania wote bila kuwagawa na mambo ya ukanda.Kwa sisi waelewa ukifanya mahesabu ya kawaida kabisa utapata majibu kuwa CCM iko juu sana ktk sehemu zote za nchi yetu Tanzania na ina wanachama na wakereketwa wasiyoyumba kwa kufuata upepo.Hakuna aliyewahi kuwa na Nguvu kutika upinzani kama Mrema lakini aliishia wapi?Nawapa pole sana wana CDM kwani watapata ugonjwa wa moyo mwaka 2015.CCM JANA-LEO-NA KESHO.

We ni mpumbavu usiyejitambua,
ndugu zako wanateseka kwa sabababu ya unyonyaji wa CCM,wewe kwa kuwa umepewa ujira kidogo umeamua kuishangilia?
We ni kupe tu wakati wowote utadondoka,
punde ngozi itakapo kauka.
 
Mikutano yako ni na wazee tu? ANYWAY UTAPATA THAWABU KWA KUWAPA BRAND NEW T-SHIRTS!

4.+Nape+akishiriki+kucharaza+ngoma+kata+ya+Mlangali,+Njombe.jpg

SISIEM INAONDOKA NA HICHO KIZAZI..! HAO WAZEE WANAAMINI RAIS BADO NI NYERERE..! ndio bahati yako nape!
 
Hongera sana Nape kwa kuwapa wakati mgumu wanaodhani CDM pekee ndio wenye haki ya kufanya mikutano na wananchi.Kwa hali ilivyo wana CDM wengi wanajidanganya sana wakiona watu wamenda kuwasikiliza utumbo wao na kuzani wameisha shinda uchaguzi.Wasubili wataona 2015 jinsi majimbo yote muhimu yatakavyorudi CCM na Ushindi wa Kishindo katika kila nafasi CCM iliyoweka mgombea.

Magamba mmebakia kupigana vikumbo na kuwamaliza watz kwa kila mbinu chafu hamtujali lenu ni mmedhamiria kukanyaga chochote kinachoikosoa ccm.
 
Mnawapa shida sana wananchi!!!, wala sio CDM na ndo akili zenu zilivo badala ya kufanya kazi ili wananchi wawakubali nyie mnafanya mambo CDM wakasirike au kuwapa CDM ugonjwa wa ROHONI. Nansens!!!!

Hebu niulizie kwa huyo kupe.Mrema alipata wabunge wangapi vile?au upinzani ni kelele na kugawa kanga?aseme hivihakuna upinzani uliowahi kuwa mkali kama huu tokea enzi za mrema
 
Hii sio picha ya Njombe, acha kuwadanganya watu. Mtapata tabu sana kudanganya watu kwani UONGO HAUDUMU!!

Haya Nape hiyo sio picha ya Njombe.. Kokote ulipofanyia mkutano bado inabeba taswira ile ile.. Wananchi hawana geni watakalolicikia toka kwenu.. Kwa miaka hamsini nyimbo zenu ni zile zile..
 
Msimlaum jamani, hakwenda na msanii yoyote sasa mlitaka watu wajae vp??
 
Duuuh kumbe mkutano uliudhuriwa na matano kwa makumi ya wazee na watoto wachaaaaaaache manake hata watoto nao siku hizi wameshtuka hawadanganyiki
 
nape ingekuwa bora kama ungekanusha kwa kuweka uthibitisho kuwa ile haikuwa picha ya njombe weka uthibisho kukanusha hiki la sivyo itakuwa kioja kukanusha kitu bila ya kuwa na ushahidi mbadala. nai kazi rahisi kabisa mtu akiweka kitu ambacho unadhani si cha kweli weka kilicho kweli hapo utakuwa umevunja mzizni wa fitina siasa ni hoja na ushahidi 2.
 
Back
Top Bottom