Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
Nape kwa maneno uliyoongea hapo juu, kwa mtu asiyekujua na mgeni, anaweza akakuonea huruma hata ukamliza, atakuona ni mtu unayewajali watanzania huku sisi tunaochangia hapa hatuwajali watanzania wenzetu.
Mnafiki mkubwa wewe na chama chako cha ccm ambacho kipo mochwari tunasubiri kukizika 2015. Binafsi sijawahi kukubaliana na what ccm is doing kwa wananchio kwa kutofanya kile kinachotakiwa kufanya, na pia sijawahi kuichukia.
But, kwa kilichotokea jana, Nape I hate CCM na serikali yake, hivi wewe Nape unaona madai ya madaktari kutaka waboreshewe mazingira ya kufanyia kazi sio ya msingi? au unafurahia mnavyoharibu vyeti vya madaktari kwa wagonjwa wengi kuwafia mikononi mwao sio kwa kuwa hawawezi kuwatibu bali hawana vifaa? au unataka madaktari wawe NDIO MZEE kama wewe? waendelee kufanya kazi ktk mazingira yasio na vifaa? akija mgonjwa wa operation wafanyie meno yao operation badala ya mikasi n visu (ambavyo serikali inashindwa ku'supply), wawashone na nyuzi za kufumia vitambaa (kwa kuwa hakuna nyuzi serikali imeshindwa ku'supply), hositali za serikali zimekuwa ni sehemu ya kuulia watu badala ya kutibu.
Naongea kutokana na ukweli nilioupitia ktk hospitali za serikali. 2010 tulivamia na majambazi nyumbani kwetu ambapo ktk kuiba iba vitu walinijeruhi kwa panga kichwani ambapo niolipoteza damu nyingi sana, polisi walipofika walinipeleka ktk hopspitali ya serikali pale mbagala mwisho that time niokikaa huko, believe me, ktk hali niliokuwa nayo sina hela, sina atm kadi imeibiwa, sina ufunguo wa gari ambao majambazi wameupoteza ktk kuvuruga vitu. DAKATI ALINIAMBIA HAWEZI KUNISHONA KWA KUWA HAKUNA NYUZI, HAWEZI KUNISAFISHA KWA KUWA HAKUNA PAMBA, KITU PEKEE MALICHOFANYA NI KUNIANDIKIA DAWA YA PANADO NDIO ILIOKUWEPO,
Hebu niambie NEPI, kama ningekuwa sina insuarance ninayolipiwa na ofisi yangu ya AAR iliyoniwezesha ku'rush AGHAKHAN kutibiwa, Believe me Nepi nisingekuwa hapa naandika haya kwa jinsi nilivyoumizwa, ningelikufa, na ktk mazingira hayo serikali ulikuwa wapi? At lengo la serikali yako ni kupunguza watu kwa kuwaua kupitia hospt zenu?
NAUNGA MKONO MGOMO WA MADAKTARI HADI SERIKALI IBIRESHE MAZINGIRA YA KAZI KTK HOSPITALI BINAFSI NA SIO KUWAUA WANAOONGOZA MGOMO.
NEPI I HATE THIS SERIKALI OF YOURS, NA KWA MLICHOKIFANYA JANA CHA KUTAKA KUMUUA DR. ULIMBOKA, SIJUI NI WATU WANGAPI NITAWATOA CCM KWA HASIRA MLIYOIWEKA NDANI YANGU HADI 2015