Nape atimiza umafia Mwanza

Nape atimiza umafia Mwanza

Mwakiluma

Senior Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
120
Reaction score
47
...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila mipango yao ya kutengeneza kadi feki kibao za chadema na kugawa kwa hawa watu ili wadai kuzirudisha ilishajulikana...alichokifanya nape ni kutimiza umafia wa kuhadaa wananchi na kukihujumu chadema...kweli ccm ni chama pinzani mwanza leo nimejiridhisha..
 
Nape Mhuni tu, na tukishika nchi tunakamata yeye na kundi lake wakajibu rasilimali za watanzania wamezipeleka wapi!
 
Nape mjanja sana anatumia style zile zile za makamba!!ubwabwa sana na leta malori toka vijijini wape 10,000 kila mtu cheza ngoma kama vile furahisha meza kuu,......ikija uchaguzi wale wote huwaoni!!
 
Watu wamefata burudan ya bure toka kwa sumalee, ndo mana waliondoka sumalee alipomaliza wakabak walioletwa na malori
 
Nape eti alikuwa anajivunia eti CCM ina matawi yenye nguvu nje ya nchi! Wanatemea kupata urais wa nchi za nje mwaka 2015, maana hapa nchini hawatapata kitu!
 
...nape amejihangaisha sana huko mwanza...wametumia fedha nyingi ili kuhadaa wanachi waweze kuhudhuria sherehe hizo...
 
Babab wa kambo???!!! Kwa hiyo CDM ndio kilioa mke wa CCM??
 
Kila siku najiuliza sipati jibu kuhusu utendaji wa okambo..hivi kumudhalilisha mtanzania masikini kwa kumsomba kutoka wilaya moja kwenda nyingine kwa usafiri wa lori na kumununua kwa kanga,kofia na fulana ya njano na kijani siyo uhaini?nadriki kukubaliana na wanazuoni kuwa CCM wanatumia mtaji wa ujinga wetu uliosababishwa na wao kuendelea kututawala....i am quity sure that CDM mtajifunza toka mwanza kuwa bado elimu kwa wakazi wa vijijini inaitajika sana na nawashauri ifanyike mapema mwezi kesho kwa nia ya kulikomboa taifa toka ktk hawa watawala...nilitegemea watu wa mwanza watatoka majumbani mwao wakiwa na mabango kuhusu mgomo wa madaktari,posho,maisha magumu,ufisadi na mengine mengi badala yake watu wamekubali kukata viuno kwa malipo ya kofia na jezi za kijani?kazi bado ipo..kufikia ukombozi wa kweli wa mtanzania still bado...anyway ongeleni CDM kwa kujaribu kwa baadhi ya maeneo kama mbeya ambapo a raia wa kawaida anaweza mkwesheni waziri kwa kukiuka sheria kwa kufuja mali ya nchi...Nape na rafiki zako mu wanafiki sana..MUNGU ATAWAHUKUMU KWA DHAMBI HII YA UDHALILISHAJI WA WATANZANIA..FOR SURE YOU WILL BE ANSWEREBLE SIKU CDM WAKISHIKA DOLA,OMBA UTOWEKE KATIKA DUNIA HII KABLA YA CDM KUTWAA HII NCHI
 
nilizungumza kipindi cha nyuma kuwa, elimu ya uraia inahitajika sana, kwa wananchi wa vijijini, ili watambue mchele na pumba ni upi.
 
...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila mipango yao ya kutengeneza kadi feki kibao za chadema na kugawa kwa hawa watu ili wadai kuzirudisha ilishajulikana...alichokifanya nape ni kutimiza umafia wa kuhadaa wananchi na kukihujumu chadema...kweli ccm ni chama pinzani mwanza leo nimejiridhisha..

Hizi siasa za kurudisha kadi na kupewa kadi mpya hazina nafasi katika Tanzania ya leo. Ni siasa za watu wavivu wa kufikiri na walioshiwa mbinu na nyimbo katika siasa. Uhai wa CCM hautokanani na idadi ya wanachadema au CUF wanaorudisha kadi. Uhai wa CCM kama chama Tawala unatokana na kujenga uchumi imara wenye uwezo wa kutengeneza ajira kwa vijana wengi wasio na kazi.

One of the biggest national security threat kwa watu makini wanaofikria beyond leo ni ukosefu wa ajira kwa vijana ambao kila siku watoto wana-turn into adults na hawana uhakika wa maisha yao ya leo wala kesho. Hawa ndiyo CCM iwahofie sana haijalishi kama wana kadi za CDM au za CCM. Ila kwa kuwa CCM hawaoni mbali zaidi ya uchaguzi wa 2015 basi wanaona kurubuni watu kujiunga na CCM ni ajira tosha kwao itakayowapatia kipato halali cha kuendesha maisha yao. CCM is destined to die sooner or later. Historia inasema hivyo wakubali wakatae, ukiisha kuwa party in power and life becomes very tough to your citizens muarobaini wako kama chama ni kukosa legitimacy na kuwekwa kando. Sasa uking'ang'ania maana yake unakaribisha maafa. Watu wanatakiwa kujaribu chama kingine wakiona hakuna mabadiliko wanatulia, ila kuwalazimisha maana yake ni kuwakatisha tamaa, na mtu aliyekata tamaa ni hatari zaidi maana hataona tofauti kati ya kuishi na kutoishi.

Ningekuwa mwenye hofu sana kama ningekuwa ni kiongozi mwenye dhamana ya kuhakikisha uchumi unakua, lakini hawa viongozi wetu ndiyo kwanza wanaota nundu na kuweka miguu juu wakiula.
 
ccm leo imefunika vibaya mwanza, ni ndremo na vifijo huku mtaani
 
Ukiwa CCM unaombea 2015 isifike haraka. Ukweli ni kuwa huwezi kupiga break siku zisiende!
Welcome 2015 with joy!!
 
nape aibu tupu, huu mpango wake wa kadi ulivuja tangu ijumaa zilichapwa kenya

Hata hizo za kuchapwa Kenya pia hazikuwepo, ilikuwa ni maneno ya uongo tu, waliokuwepo ni watu 30 tu walioandaliwa, inawezekana kabisa hawakupata hata mwanaCDM mmoja halisi!
 
Nimeona karibia woote waliochukua tukadi leo ni wanachama walewale wa siku zote ila leo waliamua kuja kufanya reharsal ya kuchukua kadi zao tena ambazo awali walizikusanya!
 
Nape anaishi kwakutegemea fitna , majungu , umbeya na udhaifu wa mwenyekiti wa ccm
 
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.

Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.

CCM juu, juu, juu zaidi
Ndio maana ni vigumu kuitofautisha CCM, CUF na UISLAM
 
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.

Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.

CCM juu, juu, juu zaidi

watanzania wanaowachagua viongozi kwa kurubuniwa kwa ubwabwa, buku buku na kanga ni MALOFA......source: jk. Hakika wewe ni LOFA.
 
Back
Top Bottom