Nape athibitisha alikuwa mgonjwa ghafla jijini Mwanza

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,612
864
Nape Nauye leo amethibitisha kuwa zile tetesi au habari ambazo zilikuwa zipo mitandaoni kuwa alilazwa jijini Mwanza baada ya kuugua ghafla ni kweli.

Amesema hamuhisi mtu yoyote kuhusu kuugua kwake kwani ni hali ya kawaida na hivi sasa yupo gado ofisini kuhakikisha magamba yanavuka.

Sourrce TBC1. Taarifa ya habari 08:00 p.m
 
Lakini alikua anaongea kwahuruma sana sijui ni nini kilichomsibu mpaka kupelekea kuugua ghafla? Siasa is a very dirty game!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom