Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,937
Jana ndo niliamini Nape ni kilaza, alipopanda jukwaani pale uwanja wa right to play, Mugumu alianza kwa kujisifu kuwa kile kitambi chake amepata ndani ya miez nane alipoazimwa na serikali kuwa mkuu wa wilaya. Upupu mwingine alisema kuwa marehemu diwani Ryoba alikuwa kibaka tu na huyu Ryoba(CDM) naye ni kibaka, kitu kingine alichoropoka ni kuwa choo cha shule ya msingi kambarage hakitajengwa na watoto wa kata ya stendi kuu wataendelea kuwa wajinga kama wazazi wao walivyo wajinga. Jana ndio niliamini Nape ni kilaza kabisa na ulivyojichubua mdogowangu na ujinga uliomo kichwani lol... Ila jana umepata ulichotaka, unadhan wananchi wa pembezoni hawajaamka? Huku watu ni wajanja wanakula dona na hawajipaki carolyte. Kijambo ulichojamba jana mkutanoni kimekuonesha ulivyo kilaza na ni kweli jahazi lenu linazama. Kama viongoz wa kitaifa mnajipaka carolyte na ni vilaza magamba jipangeni upya. An empty bag wil not stand upright. RIP Magamba.