Nape anataka Dk Mpango achunguzwe?

Nape anataka Dk Mpango achunguzwe?

Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
NAPE NI MNAFIKI KWA HIO ANATAKA KUSEMA TUKICHUNGUZA AKAUNTI ZA MZEE MAGUFULI NA MZEE MIPANGO TUTAZIPATA TRILIONI 20 . NAPE ANATAFUTA ATTENTION NA MVUTO ILI AGOMBEE 2025 LAKINI ASISAHAU (KUWA VITA SI VYETU NI VYA BWANA ) Samahani Kwa kutumia herufi kubwa
 
Dr Mpango ndo Mungu wenu mpya?
Nape naye alikuwepo ktk system kipindi chote hiki mambo yanatendeka nape, na zitto kabwe Wana tabia za upanya (Rat) kipindi Mzee yupo wapo kimya amefariki wanaanza midomo huu wema anaotaka kujionyesha anautenda ni Kwa ajili yake binafsi Kwa sababu ambazo yy anazijua .
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Watajuana wenyewe, watoto baba mmoja hao, ccm baba laoooo
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Nape naye ni muhujumu kama anavowatuhumu Hayati MAGUFULI na Mzee MIPANGO Kwa sababu ( Silence in face of evil is itself evil) hizi taarifa zilikuwa worthy kipindi Mzee yupo hai saizi nape analeta contradiction. Na mungu ( God will not hold NAPE guiltless)
 
Ile trilioni 360 iliyotajwa kule na mpina yenyewe inahusiana na nini.......au ni mlolongo ule ule wa kukopa bila jasho, nchi inapigwa sana hii....
 
Ukisikiliza ile hotuba ya nape ukija kusoma na habari zinazoletwa huku jamiiforums unaanza kupata majibu kwanini baadhi ya mitandao inafungiwa
 
Kwa jiwe hamna mtu wa kumlaumu, tabia yake wote mnajuwa! Ile anachekesha sana kwamagu unaweza akakupa cheo chochote ilimradi akutumie atakavyo yeye, yaana unatumika hadi jamii na mwenyewe unajiona lofa, ila ufanyaje? Yaani unatumika hadi mwenyewe unajichukia ukijiangalia kwenye kioo, ona 7ya, bashite, mwana harakati huru, slow x2, k budi, ona yule k/kiongozi wa one week, yaani aibu! Hivyo nawasihi mtambue wote hawana hatia, ila chunguzeni kwa lengo la kufahamu na iwe kwe history!
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Ndio agenda yake anataka makamu wa.raisi na.rais wachunguzwe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom