Hujui unachokizungumza au pengine mapenzi kwa JPM ni makubwa sana siyo rahisi uelezwe udhaifu wake uelewe.
Cha kukuongezea tu katika nchi hii hakuna kiongozi ambaye siyo fisadi,hakuna kiongozi ambaye hajajilimbikizia mali.
Hakuna kiongozi asiye fisadi katika nchi hii acha kudanganywa na siasa za majukwaani,siku ukilisogelea jiko utajua ninachojaribu kukuelezea,ipo siku utaufahamu utajiri wa JPM na wapambe wake utabaki kinywa wazi.
All in all kila kiongozi ana mazuri(machache) yake na madhaifu yake(mengi yamefichwa na dola)