Nape anataka Dk Mpango achunguzwe?

Nape anataka Dk Mpango achunguzwe?

Ee kulipa marehemu mishahara,
Wafanyakazi hewa kulipwa mishahara,
Makongamano kufanyanyika kwenye hotel za nyota tano.
Ufisadi kila sehemu.
Ndo serikali waliyokuwa wanaiongoza akina Nape.
Waliokuwa wananufaika nayo hayo! Hizo habari zilipopigwa pini ndio mbegu ya chuki ilipomea 😆😆😆
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339

Serikali ya sasa inabidi ichunguzwe kwa kuridhia hayo matumizi, kama ni mabovu kiasi hicho anachosema wajiuluzu, wawajibike, na kuchukuliwa hatua sahihi pia bunge lote pamoja na yeye kwa kukubaliana nayo.

Walikuwa sehemu muhimu ya utawala au kwenye nafasi ya kuisimamia serikali.
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Huyo tatizo lake kubwa ni UWAZIRI TU, hakuna suala (Issue) yoyote hapo.

Once akipewa UWAZIRI hutomsikia akibwata bwata hovyo na wala hutomsikia akitoa hoja ambazo ni "subjective".

Tatizo ni UWAZIRI.
 
Huyo tatizo lake kubwa ni UWAZIRI TU, hakuna suala (Issue) yoyote hapo.

Once akipewa UWAZIRI hutomsikia akibwata bwata hovyo na wala hutomsikia akitoa hoja ambazo ni "subjective".

Tatizo ni UWAZIRI.
Kutafuta uwaziri ndiyo mpaka umdhalilishe makamu wa rais?
 
Ninashauri Rais aliyeingia madarakani kupitia katiba aongoze nchi kwa kipindi cha mpito miezi 6 , then infantile uchaguzi mkuu. Naona tunakoelekea ni giza nene
Ww ndio sifur kabisa nchi hii hata zipigwe trl 10000 ni kelele mwanzo mwisho sasa hv makonda atatoka shimon kutoa tamko pa ajabu watu watasahau ilo wataan@a kupambana na makonda

Taasis zetu bdo sn
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Usahihi:
Mhe. Nape (MB) hoja yake haikuwa nani alikopa na kiasi gani? Hoja yake ilikuwa ni matumizi ya kilichokopwa yachunguzwe uwazi wake.

Mimi nadhani Mhe. Nape (MB) ni mzoefu wa Bunge la JMT, alihudhuria semina zote mbili za Wabunge wa CCM na semina ya Wabunge wote wa JMT kupewa Capacity Building kabla ya kuanza shughuli za Bunge. Alikuwepo Bunge la 11 na yupo Bunge la 12, ni mzoefu wa serikali na chama, ni kada wa kimkakati wa chama. Anajuwa wapi pa kupiga na kutoka salama.

Agenda setting!
 
Huyo tatizo lake kubwa ni UWAZIRI TU, hakuna suala (Issue) yoyote hapo.

Once akipewa UWAZIRI hutomsikia akibwata bwata hovyo na wala hutomsikia akitoa hoja ambazo ni "subjective".

Tatizo ni UWAZIRI.
Kama wa Nzega Mjini alivyotulia siyo?
 
Ninashauri Rais aliyeingia madarakani kupitia katiba aongoze nchi kwa kipindi cha mpito miezi 6 , then infantile uchaguzi mkuu. Naona tunakoelekea ni giza nene
Kufanya hivyo kunaihitaji hiyohiyo katiba iwe imesema. Kama haikusema hivyo basi acha kupoteza nguvu yako
 
Nape naye alikuwepo ktk system kipindi chote hiki mambo yanatendeka nape, na zitto kabwe Wana tabia za upanya (Rat) kipindi Mzee yupo wapo kimya amefariki wanaanza midomo huu wema anaotaka kujionyesha anautenda ni Kwa ajili yake binafsi Kwa sababu ambazo yy anazijua .
Nape hakuwahi kuwa waziri wakati wa Kikwete ameujulia uwaziri kwa JPM.
 
Ee kulipa marehemu mishahara,
Wafanyakazi hewa kulipwa mishahara,
Makongamano kufanyanyika kwenye hotel za nyota tano.
Ufisadi kila sehemu.
Ndo serikali waliyokuwa wanaiongoza akina Nape.
Hujui unachokizungumza au pengine mapenzi kwa JPM ni makubwa sana siyo rahisi uelezwe udhaifu wake uelewe.
Cha kukuongezea tu katika nchi hii hakuna kiongozi ambaye siyo fisadi,hakuna kiongozi ambaye hajajilimbikizia mali.
Hakuna kiongozi asiye fisadi katika nchi hii acha kudanganywa na siasa za majukwaani,siku ukilisogelea jiko utajua ninachojaribu kukuelezea,ipo siku utaufahamu utajiri wa JPM na wapambe wake utabaki kinywa wazi.
All in all kila kiongozi ana mazuri(machache) yake na madhaifu yake(mengi yamefichwa na dola)
 
Back
Top Bottom